we ungeweza..??Wanaona vzr, lakini watafsnyaje wakati ndio kawapa kazi? Mkosoe uone balaa, kazi ipotee, mkeo akukimbie, watoto waende st kayumba, nchi ya machawa watupu,
Daah! Hatari sana. Kule kwa Biden wanaDemocrat wenzake akina Nancy Pelosi, wanampa makavu laivu kuwa mzee umechoka, usigombee.Wanaona vzr, lakini watafsnyaje wakati ndio kawapa kazi? Mkosoe uone balaa, kazi ipotee, mkeo akukimbie, watoto waende st kayumba, nchi ya machawa watupu,
Wanaona vizuri tu, ila kila mmoja wao katanguliza tumbo lake mbeleNdani ya ccm hakuna anayeona udhaifu wa rais Samia kwenye uongozi wake?
Ni zama za ubinafsi hizi.Kila mtu anakula kazini kwake,ubinafsi umetawala sana Tanzania si tu kwenye uongozi, hata ngazi ya familia hali ni hiyo.
View attachment 3033526
Wapo Wachache kina mpina lakini wanakatishwa tamaa na wanachama wenzaoHistoria itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa.
Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa uzito zaidi kuliko maslahi ya taifa?
Hivyo nawasihi wanaccm kataeni kumteua rais Samia kuwa mgombea urais 2025,kwasbabu kashindwa:-
**Kudhibiti mfumko wa bei.
**Kudhibiti ufisadi serikalini.
**Kuujenga na kuukuza uchumi.
Rais huyu ni muumini wa kukopa tu,
Vaeni ujasiri wa Mkwawa na Nyerere ktk kulipigania taifa.
katiba haiko sawaHistoria itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa.
Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa uzito zaidi kuliko maslahi ya taifa?
Hivyo nawasihi wanaccm kataeni kumteua rais Samia kuwa mgombea urais 2025,kwasbabu kashindwa:-
**Kudhibiti mfumko wa bei.
**Kudhibiti ufisadi serikalini.
**Kuujenga na kuukuza uchumi.
Rais huyu ni muumini wa kukopa tu,
Vaeni ujasiri wa Mkwawa na Nyerere ktk kulipigania taifa.
Chadema Kuna hata mmoja anayeona zuri hata Moja la Mama au CCM?Historia itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa.
Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa uzito zaidi kuliko maslahi ya taifa?
Hivyo nawasihi wanaccm kataeni kumteua rais Samia kuwa mgombea urais 2025,kwasbabu kashindwa:-
**Kudhibiti mfumko wa bei.
**Kudhibiti ufisadi serikalini.
**Kuujenga na kuukuza uchumi.
Rais huyu ni muumini wa kukopa tu,
Vaeni ujasiri wa Mkwawa na Nyerere ktk kulipigania taifa.
Kwenye Hali ngumu ya kiuchumi iliyopon Hilo zuri utaliona kw kutumia darubini ganiChadema Kuna hata mmoja anayeona zuri hata Moja la Mama au CCM?
Form inachapishwa moja tuWakianza kuchkua form za kugombbea urais Ndio utawajua
Cha muhimu ni usimamizi wa mikopoWewe acha mama aendelee kuupiga mwingi.
Nchi hii hata ukipewa wewe wananchi watalalamika tena wanaweza kukuondoa within 100days.
Tuwe na utamaduni wa kusema ukweli bila kuegemea upande wowote.
Kwa mtazamo wangu mama anajitahidi sana tena sana ila kuna watu kwa uroho wao wanataka kuwaaminisha wananchi kuwa mama hawezi kitu.
Kukopa ni sehemu ya maisha ya wanadamu cha muhimu ni usimamizi bora wa mikopo husika ilete tija wa wananchi.
Watu wamepewa ruhusu ya kuiba mali za ummaAliuona ndugai akashughulikiwa, anauona mpina kupitia kwa watendaji wake pia anashughulikiwa.!
Yaani ni wizi juu ya wiziKwenye Hali ngumu ya kiuchumi iliyopon Hilo zuri utaliona kw kutumia darubini gani
Mpina naye anapitishwa kwenye tanuru la motokatiba haiko sawa
kumbuka Ndugai kilichomkuta alipomkosoa