Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Jamaa ni libonge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Joseverest ongea na mshana akusaidie urudishe kasi yako ya kuComment wa kwanza kabisa ktk kila post jf maana siku hz umekuwa bwege [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc. mshana jr saidia hii raia Joseverest
 
Mambo ya afro 70? Wakat nipo kijana nlikuwa napenda sana style hii. Nachomeka na chanio kichwani.miaka hiyo na suruali zetu bwanga shati za kubana. Au zile shati eagle/ juliana... Safi sana.
Hahahahha
 
Duh!, Kilo 120?,halafu unasema wewe sio kibonge, brother be serious bhana.
 
Angalia BMI kama ipo normal
 


Mshana Jr si bonge kivile, isipokuwa yeye ni mchawi na ana uwezo wa kujibadlisha mda wowote na ndiyo maana hakamatwi kwani anatafutwa kwa utapeli. huu mwaka wa 11 sasa.
 
Mshana Jr si bonge kivile, isipokuwa yeye ni mchawi na ana uwezo wa kujibadlisha mda wowote na ndiyo maana hakamatwi kwani anatafutwa kwa utapeli. huu mwaka wa 11 sasa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…