mkuu huko kwenye dala dala Kuna changamoto kubwa maana hupanda watu wengi sana na kila mtu na tabia yakeAisee! Ndani ya daladala kuna kero jamani mtu unaweza kuwa upo kimya unawaza mambo yako kichwani,mara konda au abiria mwenzako akalianzisha ujajuta kupanda daladala hilo mbaya zaidi kushuka huwezi maana kama hujachelewa kazini basi nyumbani kwako.Huu ni uzi maalum wa kushare kero mbalimbali ndani ya daladala na kushirikiana jinsi gani ya kuzitatua....Mnaowahi kukaa siti za dirishani kwenye daladala mnakera sana yaani mnafunga vioo wakati gari limejaa hata pa kuweka pua hakuna tupumuliane kwenye makwapa au?
Umeniwahi mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
Tupo wachache si unaona replies zilivyo kidoogo.Nilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
[emoji3] [emoji3] kila mtu na gari lake humuNilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
Na konda ukute kakurupuka tu kuoga hajaoga anakwwmbia hapo vipi mamdogo lohKuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika
Au mwenye stress akukanyage umwambie....atakutolea povu SI UPANDE TAXI!!!!!Usiombe umkanyage mtu mwenye stress zake kichwani loh utajuta kupanda hilo gari
Teh teh..Utakuja kupewa kesi broRaha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
Huku wako wachache mkuu,wengi humu wanama gari ya kifahariNilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
Hahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that dayAu mwenye stress akukanyage umwambie....atakutolea povu SI UPANDE TAXI!!!!!
Unakuta kwapa lina manywele na halijapata maji siku mbili loohKuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika