Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku wako wachache mkuu,wengi humu wanama gari ya kifahari
Kweli tupo wachache ila hata wale wanaotumia magari kuanzia tarehe 1 mpaka 10 alafu baadae wanazimikiwa mafuta mwisho wa siku kuanzia tarehe 20 wanamalizia mwezi kwa kupanda daladala si wenzetu pia.Tupo wachache si unaona replies zilivyo kidoogo.
Na wewe unaunganishia hapo hapoRaha kamili ni pale abiria mmoja anapoachia ushuzi
Hahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifikiHahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that day
[emoji3] [emoji3] kila mtu na gari lake humu
Raha sana pale konda anaposahau kunidai nauli hahahhahha jamaniHahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifiki
Lol!Raha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
Tupo mkuuNilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
Hapa huwa ndio huwa nachoka, hata kama kosa ni la dereva wa daladala abiria wote tunaungana na dereva kumtolea povu mwenye gari ndogo!Kweli tupo wachache ila hata wale wanaotumia magari kuanzia tarehe 1 mpaka 10 alafu baadae wanazimikiwa mafuta mwisho wa siku kuanzia tarehe 20 wanamalizia mwezi kwa kupanda daladala si wenzetu pia.
Back to the topic: mara daladala linapishana na gari ndogo bahati mbaya mwenye gari ni mwanamama sasa namna ya kuachiana njia inakuwa shida "amehongwa gari huyo dada siku mbili tu ameingia barabarani, anatuchelewesha" na akiwa mwanamume..."gari lenyewe la mkopo alafu anatuwekea usiku hapa"
Mkuu kwani kusimama nyuma ya msambwanda ni kosa la jinai? 🙂🙂🙂🙂Teh teh..Utakuja kupewa kesi bro
Hahahaa wewe mkorofiRaha sana pale konda anaposahau kunidai nauli hahahhahha jamani
Pesa nyingu haziwezi kutosha mfukoni boss.Hahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifiki
Sasa unakuta kile kiti cha nyuma kabisa mwenye daladala kakigawa vi 'headrest' kwa ajili ya watu sita wakati kiuhalisia mnakaa wanne tu, zogo lake hapo!Visiti vyenyewe vidogo.Unakuta Mtu hana hata nyama ila kajitanua kama yuko kwenye gari yake.Mwambie asogee sasa usikie ''Gubu'' lake
Hapana jamani me sio mkorofiHahahaa wewe mkorofi
Yeah sana sana Tshs.Pesa nyingu haziwezi kutosha mfukoni boss.
Aisee...pesa nyingi ni kiasi gani?Pesa nyingu haziwezi kutosha mfukoni boss.
Sawa bossYeah sana sana Tshs.
Wasio na nauli huwa wakorofi sana asubuhi. Anaanzisha ugomvi hauna kichwa wala miguu mwisho unamsikia 'NA NAULI YAKO SIKUPI'!!!!Hapana jamani me sio mkorofi