mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ndo niko najiuliza boss.Aisee...pesa nyingi ni kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo niko najiuliza boss.Aisee...pesa nyingi ni kiasi gani?
Hahahaha kwa nn kumnyima mtu hela yake bana me akisahau kunidai sometimes natulia tu mana msema mkweli mpenzi wa MunguWasio na nauli huwa wakorofi sana asubuhi. Anaanzisha ugomvi hauna kichwa wala miguu mwisho unamsikia 'NA NAULI YAKO SIKUPI'!!!!
Unaweza kuwa na dada yako konda anakurupuka tu 'nikate nauli na ya shemeji?'Na konda ukute kakurupuka tu kuoga hajaoga anakwwmbia hapo vipi mamdogo loh
Hahahaha kwa nn kumnyima mtu hela yake bana me akisahau kunidai sometimes natulia tu mana msema mkweli mpenzi wa Mungu
Kabisa na hawa wanaosimama wanavojua kuegemea sasa, halaf mwambie kaka/ dada kaa vizur umeniegemea usikilizie balaa lake,Raha ya daladala ni uwahi seat ndani tu,lile gubu la kuingia sio la kitoto
Hahahhahahahahaha wallah nimecheka sana hahahhahahhahahaha dahUnaweza kuwa na dada yako konda anakurupuka tu 'nikate nauli na ya shemeji?'
Utakufa wewe siku hizi ndole hazina dili.....mie kibaka najifaidia tu mkijaa nyomi
Sio kosa..Ila unalisogelea kosa.Mkuu kwani kusimama nyuma ya msambwanda ni kosa la jinai? 🙂🙂🙂🙂
Hahahahhahaa huu mchezo nimefanya sana nilipokua nasoma na huku ukubwan nimefanya kidogo lohUna maana unakausha hulipi?🙂🙂
Jamani hapa nmekumbuka daladala za udom ng'ong'ona unaweza soma miaka yote mi3 na usipate siti Siku zote unasimama tu loohRaha ya daladala ni uwahi seat ndani tu,lile gubu la kuingia sio la kitoto
Umenena vyema sana na ukweli mtupu kwenye daladala kuna harufu za kila namna wewe tu utakavyostahmili ufikeNilikuwa sielewi kwanini watu wanwahi dirishani nimekuja kugundua. Ile siti ya koridoni kuna watu hawawezi kusimama wima, atakuegemea kutoka kawe hadi mbagala rangi tatu....sasa imagine katoka kubeba zege tangu asubuhi jioni ndio mnarudi!
hahahaaa nakuona nakuona ...me litoke wap tenaMambo vipi?
Nikija Chuga ntaomba lift eeh!
Ha ha ha ha ha ha hata mimi mara moja moja konda akisahau na mimi najisahaulisha! 🙂🙂🙂Hahahahhahaa huu mchezo nimefanya sana nilipokua nasoma na huku ukubwan nimefanya kidogo loh
Watu wana stress za maisha unashangaa anazimalizia hapoKabisa na hawa wanaosimama wanavojua kuegemea sasa, halaf mwambie kaka/ dada kaa vizur umeniegemea usikilizie balaa lake,
Yan unabaki unashangaa yote ya nn kumbe mwenzio alikua anatafta sababu atoe lililopo moyoniWatu wana stress za maisha unashangaa anazimalizia hapo
Ha ha ha ha ha tatizo daladala zinajaa sanaSio kosa..Ila unalisogelea kosa.