Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Raha ya daladala ni uwahi seat ndani tu,lile gubu la kuingia sio la kitoto
 
Nilikuwa sielewi kwanini watu wanwahi dirishani nimekuja kugundua. Ile siti ya koridoni kuna watu hawawezi kusimama wima, atakuegemea kutoka kawe hadi mbagala rangi tatu....sasa imagine katoka kubeba zege tangu asubuhi jioni ndio mnarudi!
 
Umenena vyema sana na ukweli mtupu kwenye daladala kuna harufu za kila namna wewe tu utakavyostahmili ufike
 
Back
Top Bottom