Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Huku wako wachache mkuu,wengi humu wanama gari ya kifahari

Tupo wachache si unaona replies zilivyo kidoogo.
Kweli tupo wachache ila hata wale wanaotumia magari kuanzia tarehe 1 mpaka 10 alafu baadae wanazimikiwa mafuta mwisho wa siku kuanzia tarehe 20 wanamalizia mwezi kwa kupanda daladala si wenzetu pia.

Back to the topic: mara daladala linapishana na gari ndogo bahati mbaya mwenye gari ni mwanamama sasa namna ya kuachiana njia inakuwa shida "amehongwa gari huyo dada siku mbili tu ameingia barabarani, anatuchelewesha" na akiwa mwanamume..."gari lenyewe la mkopo alafu anatuwekea usiku hapa"
 
Hahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that day
Hahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifiki
 
Hahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifiki
Raha sana pale konda anaposahau kunidai nauli hahahhahha jamani
 
Sipendi kumpisha mtu kwenye siti niliyokaaa
 
Kweli tupo wachache ila hata wale wanaotumia magari kuanzia tarehe 1 mpaka 10 alafu baadae wanazimikiwa mafuta mwisho wa siku kuanzia tarehe 20 wanamalizia mwezi kwa kupanda daladala si wenzetu pia.

Back to the topic: mara daladala linapishana na gari ndogo bahati mbaya mwenye gari ni mwanamama sasa namna ya kuachiana njia inakuwa shida "amehongwa gari huyo dada siku mbili tu ameingia barabarani, anatuchelewesha" na akiwa mwanamume..."gari lenyewe la mkopo alafu anatuwekea usiku hapa"
Hapa huwa ndio huwa nachoka, hata kama kosa ni la dereva wa daladala abiria wote tunaungana na dereva kumtolea povu mwenye gari ndogo!
 
Hahahaa kunasiku na mimi nilipanda coaster flan,ilkua imejaa wanaume tupu alafu sura zao kavu na kimya kimejaa tele nilijaa upepo maana nlikua napesa nyingi mfukoni aise niliona gari halifiki
Pesa nyingu haziwezi kutosha mfukoni boss.
 
Visiti vyenyewe vidogo.Unakuta Mtu hana hata nyama ila kajitanua kama yuko kwenye gari yake.Mwambie asogee sasa usikie ''Gubu'' lake
Sasa unakuta kile kiti cha nyuma kabisa mwenye daladala kakigawa vi 'headrest' kwa ajili ya watu sita wakati kiuhalisia mnakaa wanne tu, zogo lake hapo!
 
Back
Top Bottom