ha ha haaa kwaiyo baada ya ile pm ulizipata nyingi eeeh???
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana, ila angalau toka pale nikimsalimia mtu PM anajibu.
Kabla ya pale nikituma PM 5 hata moja haijibu...
(Natania, not serious).
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Usiombe umkanyage mtu mwenye stress zake kichwani loh utajuta kupanda hilo gari
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Poa sana kaka, kimvua tu pande hizi, mzima?Mkuu mambo vipi?
Poa sana kaka, kimvua tu pande hizi, mzima?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sipishi mtu Mimi .....mambo ya makusudi siyapendi mimiUmenigusa mkuu kuna wale mama au baba zetu umri umeenda sana anaona kabisa gari imejaa anaamua kupanda tu akitegemea kupishwa kwenye siti.
AAh tumwachie Muumba afanye atakavyo mkuuNiko powa pia, hata huku ni mwendo wa mvua tu.
Ukishangaa shangaa inakudondokea muda wowote, ila ndo baraka zenyewe.
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] kila mtu na gari lake humu
Hahahaha hapo nakua busy na simu yangu siangalii pembeni na simjibu mtuHalafu mara nyingi anakuja kusimama pembeni yako na kukutazama usoni.
Jamani hapa nmekumbuka daladala za udom ng'ong'ona unaweza soma miaka yote mi3 na usipate siti Siku zote unasimama tu looh
Nimekumiss lkn ujue[emoji3] [emoji3] kila mtu na gari lake humu
Hahaha jamani jf kuna kila aina ya sampuli loohKuna siku nilimuwekea mdada mzigo wa poombu begani I makusudi kabisa Mimi nimesimama ye kakaa nilikua namuona tuu pumzi zinavyokata, anahema juu juu akashyka mtu akasogea nilivyokaa nikamwambia polee tulikuwa tumebanana sana, akaishia kucheka tukaendelea na story nyingine
me more rafiki kipenzi...vp lile gar letu lipo bado??Nimekumiss lkn ujue
Hii imeshawahi kunikuta .....nilijutaaaaa kusafiri usikuUnaweza kusimama na mguu mmoja kiupandeupande kutoka posta hadi mbezi! Huitaji mazoezi hata kidogo!
Hakujiona kama amezeeka na gari imejaa hatoweza kusimama wee tusikerane kabisaa[emoji57]Sipishi mtu Mimi .....mambo ya makusudi siyapendi mimi
Aisee kumbe wapo wanaopanda daladala!!
Nilijua ni mimi tu kumbe tupo wengi!
kule kumedorora sikuhz mbona leo nilikwepo sijakuona au unapitaga kimya kimyaHalafu wewe nakutafuta sana kwenye ile thread ya walinzi sikuoni.