Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Yani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliaje
Aiseeh ni hatari sana, safari ikiwa ndefu waweza kumbuka matatizo yanayokukabili na kuanza kulia bila aibu kumbe kwapa ndio chanzo
 
Raha ya daladala kwa wale wa gongo la mboto au rangi tatu tokea gerezani ni kugeuza nalo ...make ndani huwa ni ngumi mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom