DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Usifunge vioo bby. Utakuja ku vomitiwa siku moja.Yani huyo mfunga vioo ni mimi kabisa. Sema nitaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifunge vioo bby. Utakuja ku vomitiwa siku moja.Yani huyo mfunga vioo ni mimi kabisa. Sema nitaacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli uacheYani huyo mfunga vioo ni mimi kabisa. Sema nitaacha
Dereva mwenyewe zishafyatukaa, kidogo atuue kwenye mataa, anabaki kujibizana huku taa nyekundu zishawaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo dereva sharti awe mpole ghafla. Sio kwa maneno hayo ya wamama
Nawe baby unalo? Eeh[emoji3] [emoji3] kila mtu na gari lake humu
baby si nasubir ile ist uliyonahidNawe baby unalo? Eeh
Duuh[emoji46]mie kibaka najifaidia tu mkijaa nyomi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikweli lakini mara nyingi hua wanapanda wakitegemea hisani....[emoji23] [emoji23] kuna vitu vinachosha mkuu acha tu mtu anajijua amezeeka au amebeba mtoto na gari imejaa hata kuhema shda nae anaingia akitegemea atapishwa nyoookooo
Naam kidogo Nilitaka kughairi, baebaby si nasubir ile ist uliyonahid
No noo usighair bae am still waitingNaam kidogo Nilitaka kughairi, bae
Uwiii. Mbona ntaliaUsifunge vioo bby. Utakuja ku vomitiwa siku moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu alie mbele yako anageuka kukutazama kiaina....🙂🙂🙂
No noo usighair bae am still waiting
nishaenda kitambo na lessen ipo ww tu baeOK, bae ila uende driving mapema
Aiseeh ni hatari sana, safari ikiwa ndefu waweza kumbuka matatizo yanayokukabili na kuanza kulia bila aibu kumbe kwapa ndio chanzoYani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliaje
Aisee!!kweli umejipanga na kudhamilia ila hukuniambia kwanininishaenda kitambo na lessen ipo ww tu bae
nilitaka nkufanyie suprise bby siku ukikabidhi garAisee!!kweli umejipanga na kudhamilia ila hukuniambia kwanini
Bibie muda wa kula huu,Yani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliaje
[emoji3] [emoji3] kweli umeniweza bae, yaaninilitaka nkufanyie suprise bby siku ukikabidhi gar