MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
View attachment 15614
Ndani ya kaburi kuna viti, jeneza liko juu ya kitanda, nyuma ipo TV ya Plasma na DVD player.
Pia kuna meza yenye kioo kikubwa imejaa vipondozi na saa ya ukutani.
View attachment 15615
Chumba cha marehemu kiko safi, angalia maua na picha za ukutani
Kitanda kimetandikwa shuka safi nyeupe na mito miwili ya kulalia.
View attachment 15616
Wazikaji wanavuta kwanza sigara, angalia meza livyojaa pombe kali za kila aina.
Inaelekea marehemu ni mwanamke, tazama juu ya meza ndogo nyuma kuna viatu vya kike, labda atavivaa akitembea huko kuzimu.
Huyu mama pia huenda alikuwa mpiganaji wa ngumi au mieleka, angalia ukutani karibu ya meza iliyojaa vinywaji pametundikwa mikanda ya ubingwa aliyoipata akiwa hai.