Ndani ya Kaburi la Kifahari

Ndani ya Kaburi la Kifahari

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
4,974
Reaction score
785
View attachment 15614

Ndani ya kaburi kuna viti, jeneza liko juu ya kitanda, nyuma ipo TV ya Plasma na DVD player.

Pia kuna meza yenye kioo kikubwa imejaa vipondozi na saa ya ukutani.

View attachment 15615

Chumba cha marehemu kiko safi, angalia maua na picha za ukutani

Kitanda kimetandikwa shuka safi nyeupe na mito miwili ya kulalia.

View attachment 15616

Wazikaji wanavuta kwanza sigara, angalia meza livyojaa pombe kali za kila aina.

Inaelekea marehemu ni mwanamke, tazama juu ya meza ndogo nyuma kuna viatu vya kike, labda atavivaa akitembea huko kuzimu.

Huyu mama pia huenda alikuwa mpiganaji wa ngumi au mieleka, angalia ukutani karibu ya meza iliyojaa vinywaji pametundikwa mikanda ya ubingwa aliyoipata akiwa hai.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!
Hi nayo ni kufuru.
Sidhani kama huyu mtu alikuwa na dini.
Au dini yao inawaambia kuwa mtu anafufuka na kuendelea na maisha wakisha funika kabuli.
Kweli dunia ina mambo.
 
View attachment 15614

ndani ya kaburi kuna viti, jeneza liko juu ya kitanda, nyuma ipo tv ya plasma na dvd player.

Pia kuna meza yenye kioo kikubwa imejaa vipondozi na saa ya ukutani.

View attachment 15615

chumba cha marehemu kiko safi, angalia maua na picha za ukutani

kitanda kimetandikwa shuka safi nyeupe na mito miwili ya kulalia.

View attachment 15616

wazikaji wanavuta kwanza sigara, angalia meza livyojaa pombe kali za kila aina.

ukisikia ujinga ndo huo. Wewe mtu keshakufa halafu mnamuwekea mamali yote hayo atayatumiaje wakati keshakufa ??? Kuna watu wanakufa kwa njaa katika dunia hii hii, halafu wao wanamzika na mimali yote hiyo ya nini ???

Ndo maana siku hizi kuna wezi wa kufukua makaburi. We waache tu. Wakimaliza kufukia majamaa yanakuja kufukua na kuiba vitu vyote walivyomzika navyo.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!
Hi nayo ni kufuru.
Sidhani kama huyu mtu alikuwa na dini.
Au dini yao inawaambia kuwa mtu anafufuka na kuendelea na maisha wakisha funika kabuli.
Kweli dunia ina mambo.

hii inaonesha kuwa yote tunayofanya mbele ya mfu tunajifurahisha wenyewe
 
aliyekufa kafa tu hata umuwekee nini...wasumbua akili na kutujulisha kiwango cha ujinga wako
 
Inanikumbusha mafarao waliozikwa katika mapiramidi
 
Kaburi kama hili ukiweka uswazi kwetu masela wanafukua usiku huo huo!!!
 
Hilo kaburi mbona gharama yake haifiki hata 20M!?..tumesahau kule misri wale jamaa ilikuwa inagharimu kiasi gani kuwazika!....vito na madini waliyokuwa wanazikwa nayo mpaka leo yanawapa ulaji wajanja! na hiyo ilikuwa kabla ya jizaz kuzaliwa!!!
Dah! kuzikwa hivo raha eeh, yu neva noo ukifa inakuwaje, huenda nafsi inarandaranda ndani ya kaburi! inategemea na imani ya mzikwaji, na wala haina effect kwa wazikaji kama mzikwaji anao uwezo wa kuzikwa anavyotaka! Hakuna kufuru yoyote hapo wakuu!
 
Mbona hii tayari imeshapita hapa Jf tokea mwaka jana na kujadiliwa kuna wale waliosema ilikuwa ni mambo ya movie na wengine kusema ni mazishi ya kweli ,any way asante kwa kuwacha shughuli zako na kutuma ujumbe lakini kwa tarifa yako hiii ni kongwe imeshatoka ladha
 
View attachment 15614

ndani ya kaburi kuna viti, jeneza liko juu ya kitanda, nyuma ipo tv ya plasma na dvd player.

Pia kuna meza yenye kioo kikubwa imejaa vipondozi na saa ya ukutani.

View attachment 15615

chumba cha marehemu kiko safi, angalia maua na picha za ukutani

kitanda kimetandikwa shuka safi nyeupe na mito miwili ya kulalia.

View attachment 15616

wazikaji wanavuta kwanza sigara, angalia meza livyojaa pombe kali za kila aina.

Inaelekea marehemu ni mwanamke, tazama juu ya meza ndogo nyuma kuna viatu vya kike, labda atavivaa akitembea huko kuzimu.

Huyu mama pia huenda alikuwa mpiganaji wa ngumi au mieleka, angalia ukutani karibu ya meza iliyojaa vinywaji pametundikwa mikanda ya ubingwa aliyoipata akiwa hai.

kibongo bongo halifiki asubuhi hilo.....masela juu kwa juu
 
Hii inanikumbusha yule mama wa kichaga aliyefiwa na mumewe, na mume alitaka azikwe na pesa zote,mama alichofanya, aliandika cheque ya balance yote kwenye account, akaiweka kwenye jeneza.

Thereafter, withdrawal as usual, as she is assured of no presentation of chq.
 
Hayo yote ni maringo tu, siku ya kufa ikifika hakuna ujanja na safari ni moja. No matter what coffin/grave they put you
 
Marehemu inaonyesha alikuwa mlevi sana, wamemwachia ijimiminie akisikia kiu, vitamsukuma sukuma kwa siku kadhaa hivi vinywaji, viti na mito miwili ishara ya mume atamfuata soon.......! eti anajiandalia sehemu bomba
 
Mbona hii tayari imeshapita hapa Jf tokea mwaka jana na kujadiliwa kuna wale waliosema ilikuwa ni mambo ya movie na wengine kusema ni mazishi ya kweli ,any way asante kwa kuwacha shughuli zako na kutuma ujumbe lakini kwa tarifa yako hiii ni kongwe imeshatoka ladha

acha ambao ni mara yao ya kwanza wajionee...Mbona ubnapenda kuwakati tamaa hivi?!!
 
Kitu gani! Mafarao walizikwa na wasaidizi waende wakawatumikie upande wa pili!
 
Back
Top Bottom