Ndani ya masaa 24, Kenya imepima sampuli 766 na kugundua 6 zenye Corona

magu2016 havihusiani. Jana tulikuwa tunahimiza testing,testing and testing which Tanzania is not doing.
Ulikuwa unaiponda nchi ya Tanzania jinsi unavyoshughulikia ugonjwa wa COVID-19 ukawa unawasifu wakenya sasa WB imetusifu mkuu! Mwaka huu mtakufa na stress kila mnapogusa miti inateleza mnadondoka chini. Poleni sana!
 
Tumia akili. World bank wanataka muambukizane ili wawakopeshe hela mje kulipa kwa riba kubwa. Eti World bank wamewasifia 🤣🤣🤣🤣.Ngoja wawaletee deni mnalotakiwa kulipa baada ya Coronavirus ndo mtatia akili.
 
Sisi mkuu hatucopy na kupaste tunaangalia mazingira halisi ya nchi yetu siyo kukurupuka tu eti kwa sababu USA ameweka lockdown na sisi tunacopy. Hicho fanyeni Kenya huko mkuu sisi tunajitambua!
Pia jana tulikuwa tunasema testing. Lockdown unaweza kufanya partial ukadhibiti watu wasiokuwa na kazi wabaki majumbani mwao.
 
Kila mnalofanya Miafrika ni copy paste, maana hata vifaa vya kupima vyote mumeletewa na hao hao, yaani unavyokula, unachokula, unavyokunya vyote umeiga mtindo wao...
Corona yenyewe sidhani wanagapi hata mnajua ni kitu gani, kunao ukiwauliza watakuambia ni aina fulani ya wimbo.
 
Tumia akili. World bank wanataka muambukizane ili wawakopeshe hela mje kulipa kwa riba kubwa. Eti World bank wamewasifia 🤣🤣🤣🤣.Ngoja wawaletee deni mnalotakiwa kulipa baada ya Coronavirus ndo mtatia akili.
Ndiyo unachofikiria kwenye kichwa chako soma vizuri ripoti hiyo ya WB imeelezea vizuri sana tena kwa utaalamu kabisa na ikaonyesha impact ya kucopy tu vitu toka Developed World.
 
Usinitoe kwenye Reli.Swali Tanzania tunapima wangapi kwa siku ?Mpaka sasa tumeshapima wangapi ?
 
Pia jana tulikuwa tunasema testing. Lockdown unaweza kufanya partial ukadhibiti watu wasiokuwa na kazi wabaki majumbani mwao.
Naona somo limeanza kukuingia polepole soon utakubaliana na approach iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania. Kweli Rais Magufuli ni jembe! Hapa Kazi Tu.
 
Usinitoe kwenye Reli.Swali Tanzania tunapima wangapi kwa siku ?Mpaka sasa tumeshapima wangapi ?
Hatuhitaji kupima kila siku na kila mtu tunapima tu pale inapobidi hatuna mass testing. Wewe wafuate Wakenya ndugu zako. Nasikia wakenya wameanza kuikimbia nchi yao sasa kwa unyama wanaofanyiwa na serikali yao.
 
Naona somo limeanza kukuingia polepole soon utakubaliana na approach iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania. Kweli Rais Magufuli ni jembe! Hapa Kazi Tu.
Hujui position yangu kuhusu Lockdown pole. Mimi binafsi sikubaliani na total Lockdown kwa nchi za Africa. Kwa sababu ya maisha halisi ya watu wengi yalivyo. Mtu hauwezi kumfungia kwenye kijumba cha mabati full suit mwezi mzima. Ila tunaweza kudhibiti watu wasiokuwa na cha kufanya wasimove ovyo ovyo,tunaweza kuzuia watu wasiende majumbani kwa watu,usifanye party na kualika watu kutoka nyumba zingine. I mean kustop mikusanyiko isiyo na ulazima.
Kwenye hii thread msimamo wangu kuhusu testing,nahimiza watu wafanye testing ili kuweza kupata picha extent ya maambukizi na itasaidia kuisolate walioambukizwa na wale waliokuwa in contact.
Having said that,sasa nakuambia usinijudge msimamo wangu kuhusu testing ukauweka kwingine kote.
 
Sasa hiyo kweli inahitaji serikali kukuambia usiende kumtembelea ndugu yako? Watz wanajua wana akili pia siyo watoto wadogo
 
Hivi jamani mnataka kusema .
Kuanzia ile tarehe 17 mwezi wa 3.
Mpaka Leo tarehe 14 mwezi wa 4.
Hapa Tanzania tuna wagonjwa wengi lakini HAWAONEKANI?.
Hivi kuanzia hyo tarehe mpaka leo.
Unajua ulaya na marekani wamekufa watu wangapi na wameambukizwa watu wangapi?.
Mpaka mtu aonekane ana corona uchukua siku 2-14 .
Ina maana tangu tarehe ya kwanza ilipoingia corona hapa Tanzania kuna watu wanaumwa na wanakufa kwa corona lakini serikali inaficha?
Kwanini hatutaki KUUKUBALI UKWELI?[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ukweli upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo kweli inahitaji serikali kukuambia usiende kumtembelea ndugu yako? Watz wanajua wana akili pia siyo watoto wadogo
Elimisha,ukiwaambia watu wanafungua uelewa. Believe me jana kuna watu wamekaribishana kula pilau.
 
Back
Top Bottom