Ndani ya masaa 24 Kenya imepima watu 1,330 na kupata waathirika 8, halafu saba zaidi wamepona

Kipyenga ndio kwanza kimepulizwa na mpira ni dakika tisini. Subiri kwanza.
 
Kipyenga ndio kwanza kimepulizwa na mpira ni dakika tisini. Subiri kwanza.
Huu upumbavu sio wa dunia hii. Huo ndio ushauri ambao tumekuwa tukiwapa tangia siku ya kwanza, kwamba muache papara. Huku tukiwasisitizia kwamba maambukizi ya virusi hivyo sio mashindano. Eti kipyenga na dakika tisini, kwenye suala linalohusu hadi maafa ya ndunguzo? Hamna akili kabisa nyinyi viumbe.
 

Naomba link ya kupata hizi taarifa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
LOL mbona unalia sasa? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…