dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Bonge la shetani!Hii ni kweli kabisa. Dikteta Putini ana hali mbaya. Eti anataka kulipua dunia nzima tukose wote kkkkk!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la shetani!Hii ni kweli kabisa. Dikteta Putini ana hali mbaya. Eti anataka kulipua dunia nzima tukose wote kkkkk!
In theory yes, lakini kiuhalisia ni zoa zoa, na za ndani zinasema sio partial kama inavyodaiwa ndo maana tunashuhudia mafoleni mipakaniView attachment 2366733
Mrusi ni kama muisrael wa mashariki watu walishapita jeshini muda tu hakuna jipya huko watakutana nalo......hawaiti mapimbi kama wa ukraine hapo wapewe english kozi ndo waingie vitaniView attachment 2366737
View attachment 2366733
Mrusi ni kama muisrael wa mashariki watu walishapita jeshini muda tu hakuna jipya huko watakutana nalo......hawaiti mapimbi kama wa ukraine hapo wapewe english kozi ndo waingie vit walete sasa vshundu huku sasa tuvipasue..HIMARs ni balaa
Hapa watakwambia kuna referendum kwahiyo hizo ndege sio kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo zimedondoshwa Ndege 4
Mandonga kasema kama anajimegea basi yeye atamuongezea sanctions 😆😆😆Watu tayari wanajimegea kipande cha nchi.........wapasuane na vibaraka wao
Toa nayaupande wa pili
Sisi Warusi wa Buza hatuna usemi ila tutashinda tu, Putin ni Commando
Russian fighter jets have shot down two Ukrainian MiG-29 warplanes modified to fire US-made anti-radar weapons, the Russian Defense Ministry said on Sunday.It said that Russia's biggest losses occurred towards Kramatorsky and Donetsk in the east of the country,
Ukraine wanatumia sana silaha za mrusi hawachelewi kugeuza hio habari na kusema wao ndo wamedondosha hizo ndegeRussian fighter jets have shot down two Ukrainian MiG-29 warplanes modified to fire US-made anti-radar weapons, the Russian Defense Ministry said on Sunday.
According to the ministry, the planes that were intercepted in Ukraine’s southern Nikolaev Region were capable of carrying AGM-88 High-Speed Anti-Radiation Missiles (HARM) that are used to destroy radar stations on the ground.
Russian fighter jets have shot down two Ukrainian MiG-29 warplanes modified to fire US-made anti-radar weapons, the Russian Defense Ministry said on Sunday.
According to the ministry, the planes that were intercepted in Ukraine’s southern Nikolaev Region were capable of carrying AGM-88 High-Speed Anti-Radiation Missiles (HARM) that are used to destroy radar stations on the ground.
US imepeleka HIMARS ngapi, Ukraine?Taarifa za Urusi mpaka sasa Ukraine ilipaswa kuwa imeisha, wamelipua HIMARS 100
Ngoja warusi wa Manzese waje wakujibu!View attachment 2366480Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo.....
Russia suffered significant losses of military equipment both in the air and on the ground over the last 24 hours, the Ukrainian Armed Forces have said in their latest update.
Ukraine's military said on Friday that over the previous day, Russia had lost 18 tanks, a helicopter and a fighter jet, as well as 14 artillery systems and eight Multiple Launch Rocket Systems (MLRS).
It said that Russia's biggest losses occurred towards Kramatorsky and Donetsk in the east of the country, adding that Ukrainian anti-aircraft missile units destroyed seven Russian targets, including four Iranian-made drones.
The details of the daily assessment have not been independently verified and Newsweek has contacted the Russian defense ministry for comment.
It comes as Britain's Ministry of Defence said on Friday that over the last three days Ukrainian forces had secured bridgeheads in the Kharkiv Oblast on the east bank of the Oskil River, which Russia had tried to integrate into a consolidated defensive line after its forces retreated earlier in September.
Defense officials said that Ukrainian troops were assaulting the town of Lyman, east of the Siverskyy Donets River, which Russia captured in May.
However, Oleh Synyehubov, the governor of Kharkiv, wrote on Telegram that Russian troops continue to "terrorize the civilian population" of his region by shelling settlements adjacent to the contact line and the border with Russia.
Video Player is loading.
Loaded: 15.82%
MSN
www.msn.com
Jibu swali.Mlipumbazwa na HIMARS za mbao.
Jibu swali.
Okay, za mbao zilikuwa ngapi, za tope zilikuwa ngapi na za chuma zilikuwa ngapi? Maana inaonyesha, wewe ni Mwenyekiti wa bodi ya logistics ya upelekaji silaha Ukraine ya Marekani. Ha ha hahahaha AAA!