Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

View attachment 2366733
Mrusi ni kama muisrael wa mashariki watu walishapita jeshini muda tu hakuna jipya huko watakutana nalo......hawaiti mapimbi kama wa ukraine hapo wapewe english kozi ndo waingie vitaniView attachment 2366737
In theory yes, lakini kiuhalisia ni zoa zoa, na za ndani zinasema sio partial kama inavyodaiwa ndo maana tunashuhudia mafoleni mipakani
 
Watu tayari wanajimegea kipande cha nchi.........wapasuane na vibaraka wao
 
It said that Russia's biggest losses occurred towards Kramatorsky and Donetsk in the east of the country,
Russian fighter jets have shot down two Ukrainian MiG-29 warplanes modified to fire US-made anti-radar weapons, the Russian Defense Ministry said on Sunday.

According to the ministry, the planes that were intercepted in Ukraine’s southern Nikolaev Region were capable of carrying AGM-88 High-Speed Anti-Radiation Missiles (HARM) that are used to destroy radar stations on the ground.
 
Ukraine wanatumia sana silaha za mrusi hawachelewi kugeuza hio habari na kusema wao ndo wamedondosha hizo ndege
 

Taarifa za Urusi mpaka sasa Ukraine ilipaswa kuwa imeisha, wamelipua HIMARS 100
 
Ngoja warusi wa Manzese waje wakujibu!
 
Amemaliza wanajeshi, amemaliza na silaha. Sasa hivi hata akipangwa na tanzania tunamtoa nokiauti
 
Mlipumbazwa na HIMARS za mbao.
Jibu swali.
Okay, za mbao zilikuwa ngapi, za tope zilikuwa ngapi na za chuma zilikuwa ngapi? Maana inaonyesha, wewe ni Mwenyekiti wa bodi ya logistics ya upelekaji silaha Ukraine ya Marekani. Ha ha hahahaha AAA!
 
Jibu swali.
Okay, za mbao zilikuwa ngapi, za tope zilikuwa ngapi na za chuma zilikuwa ngapi? Maana inaonyesha, wewe ni Mwenyekiti wa bodi ya logistics ya upelekaji silaha Ukraine ya Marekani. Ha ha hahahaha AAA!

Halafu ndio zimekua game changer, leo Mrusi hataki habari za HIMAR, zimefukuzia mpaka mumeachia miji na kukimbia, yaani raha sana, na zimepata soko hata kwa waarabu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…