Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu


Hii ni very classified information.

Siongezi neno

Mto wa mbu
State of Illinois
Kumbuka amechaguliwa na wananchi na sio na Samia

Kama kujiuzilu Samia should be the first , amekalia damu za watu na wananchi wamemkataa

Ni rais wa kwanza kwenye maisha ya Tanzania kukalia kiti kwa kumwaga damu za wananchi

All in all ; mwana CCM bora ni yule aliekaburini
Kila mwana CCM ni adui wa Taifa na wapigwe vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…