Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

Hii ni very classified information.

Siongezi neno

Mto wa mbu
State of Illinois
Kuna thread iliwekwa juzi na Britannica, na Jana kuna thread ya Kikao cha Dharura cha NEC, na pia kuna tamko au Kauli ya Askofu Bagonza anaye dai wanataka maridhiano wakati Ndani Chama chao hawataki kuridhiana.

Na Mwisho kutumika Kwa Mamluki kumshinikiza Mpitimbi ajiuzulu kabla hajaondolewa kwa njia zingenezo
 
Acha kiwake
 
Back
Top Bottom