ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Una shida sehemuUtashangaa Ma CHADEMA yanapinga
Wewe ndiye una shidaUna shida sehemu
Zinauzwa nchi Gani? Maana sijawahi kuziona huku kijijini kwetuMy Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu ππ
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi.
View: https://www.instagram.com/p/DdN6KP5jMyW/?stkn=MjdteTc5djd6OGg2
Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi ninayo mojawapo ya hizo simu ziko poa.
Focus kwenye Mada achana na hayo MchademaWewe ndiye una shida
Nenda kariakoo utazikutaZinauzwa nchi Gani? Maana sijawahi kuziona huku kijijini kwetu
Hata Veta mwakani wanaanza Kuzalisha smartphoneNasikia ni za Wachina, ila zina setting za kihuni kila mawasiliano yote unayofanya kopi zinatua mezani kwa Mafwele na genge lake
Vinaagizwa Nje ila sio mda vitakuwepo kuna Viwanda vinajengwa Buzwagi Industrial areaSamahani yawezekana nikawa labda sifahamu hivi wapi kuna kiwanda cha kutengeneza electronic components kama resistor, capacitor, diode, transistor, MOSFETs au hata integrated circuit tofauti tofauti achilia mbali display tofauti tofauti.
assembling or manufacturing ? π€My Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu ππ
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi.
View: https://www.instagram.com/p/DdN6KP5jMyW/?stkn=MjdteTc5djd6OGg2
Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi ninayo mojawapo ya hizo simu ziko poa.
well done serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan, kwa kutengeneza mazingira mazuri na wezeshi ya uwekezaji na hatimae matunda yake yameanza kuonekana sasa Tanzania.π€My Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu ππ
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi.
View: https://www.instagram.com/p/DdN6KP5jMyW/?stkn=MjdteTc5djd6OGg2
Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi ninayo mojawapo ya hizo simu ziko poa.
Assembling mkuu!assembling or manufacturing ? π€