Ndani ya Miaka 5 ya Uongozi wa Rais Samia,Tanzania Yaanza Kuzalisha Smartphone na Kutengeneza Ndege Ndogo

Mmiliki wa hicho kiwanda ni mTanzania mwenzetu na sio beberu natumaini ipo hivyo siyo?

Isije kuwa waChina baada ya kugundua ngozi nyeusi tunapenda vitonga (bidhaa feki) wakaona walete kabisa kijiwanda chao hapa ili kujipigia vijisenti.
 
Vinaagizwa Nje ila sio mda vitakuwepo kuna Viwanda vinajengwa Buzwagi Industrial area
Basi itakuwa jambo jema sana huwezi somesha vijana alafu practical wanafanyia ubaoni moja ya taaluma ambayo serekali ilipaswa kukazania sana ni vitu kama Technology. Leo hii labda mtu uamue kujipambania uwanunulie watoto wako vi resistor, capacitor, diode, op amp na LED chache walau china na breadboard ndiyo wawe wanafanya majaribio nyumbani huko nchi za wenzetu vinauzwa gharama ndogo sana.
 
Mmiliki wa hicho kiwanda ni mTanzania mwenzetu na sio beberu natumaini ipo hivyo siyo?

Isije kuwa waChina baada ya kugundua ngozi nyeusi tunapenda vitonga (bidhaa feki) wakaona walete kabisa kijiwanda chao hapa ili kujipigia vijisenti.
Hamza milanzi
 
Maviwanda ya wachina hayo, na walivyo wehu wale jamaa. Bidhaa zinatengenezwa bongo wanachapa "made in China".
 
Hawa hapa

View: https://youtu.be/z7GaOitCVQM?si=F1LgfZor6vTuIPq4
 
Mmiliki wa hicho kiwanda ni mTanzania mwenzetu na sio beberu natumaini ipo hivyo siyo?

Isije kuwa waChina baada ya kugundua ngozi nyeusi tunapenda vitonga (bidhaa feki) wakaona walete kabisa kijiwanda chao hapa ili kujipigia vijisenti.
Umeanza visingizio vya kijinga
 
Zina langi ya CCM hizo tutazigawa Kama takilima kwenye uchaguzi wa 2030 maana huku mtaani hazina soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…