OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174)
Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 10.1 ambapo Oktoba 2020 lilikuwa Tsh. Trilioni 54.5 na Oktoba 2021 ni Tsh. Trilioni 64.6. Serikali Kuu ina sehemu kubwa katika deni la Taifa ambalo ni 71.6%