Tafuta pesa ndugu.Yapo mengine mengi yamefichika chini ya carpet ila yatakuja funuliwa wakati ufikapo
Uganda Airport imechukuliwa mda mchache ujao TZ tutanyang'anywa,, SGR,, Airport zote na Bandari zote maana hatuna Cha kuwalipaTaarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174)
Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 10.1 ambapo Oktoba 2020 lilikuwa Tsh. Trilioni 54.5 na Oktoba 2021 ni Tsh. Trilioni 64.6. Serikali Kuu ina sehemu kubwa katika deni la Taifa ambalo ni 71.6%
Bidhaa unazonunua itabid zipande bei Kwan serikali itaongeza Kodi kwenye bidhaa zinzotumika Sana na matabaka yote😁😁 Wote tunakula!! Hata sisi wa kipato Cha chini lazma tule!! Tutabanwa hapo ili gavoo ipate Doo za kulipa mko--poo!!!Hivi deni la taifa kuongezeka namna hii Mimi Kama mwananchi mwenye kipato Cha chini inaniadhili ki namna ipi?? Naomba elimu juu ya hili
Aisee kumbe ndo jinsi ilivo, kwhy tunaweza fanyaje ili hayo yote yasitokee? Au ndo tumechelewa?Bidhaa unazonunua itabid zipande bei Kwan serikali itaongeza Kodi kwenye bidhaa zinzotumika Sana na matabaka yote😁😁 Wote tunakula!! Hata sisi wa kipato Cha chini lazma tule!! Tutabanwa hapo ili gavoo ipate Doo za kulipa mko--poo!!!
Na hii inamaanisha hata nchi ina wenyewe.Bahati nzuri tulichukulia kuwa ccm ni chama cha wananchi/wanachama wote lakini sasa tunaambiwa rasmi kina wenyewe ni familia hazizidi hata 5. Kwa hiyo waliodhani kuwaondoa ccm madarakani kutaleta vita wajue sasa kuwa ni vita ya hizo familia tu
One of the perfect answers I have ever heard, asante sana.Na high inamaanisha hata nchi ina wenyewe.