Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
 
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Mwanaume anayejishusha ni dhaifu na hajui thamani yake.
Hakuna mwanaume ajuaye thamani yake atakayekubali kujishusha, atatimiza majukumu yake ya kiume, bhasi.
 
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Mume na Mke wote wanapaswa kujishusha kutegemeana na nani kafanya kosa hii husaidia aliyekosewa kushusha hasira na kuruhusu maisha kuendelea.
Kujishusha siyo udhaifu ni sehemu ya suluhisho huwezi kuzima moto kwa kuwasha moto.
 
Kujishusha una maana gani?

Kwanza elewa huwezi shindana na mwanamke kwenye kuongea. Hawa watu wanaongea balaa. We cha kufanya acha aongee jishushe ila mwisho wa siku wewe fanya maamuzi ya mwisho. Halafu maliza kwa kufanya ile principle
 
Mwenye uhitaji zaidi ya huo uhusiano, if you you don’t give a f@c then fu( apologies
 
Achana na biashara ya ndoa,fanya vitu vingine maana hapo kama hauharidhia kufanya jambo kutoka moyoni utakuwa unajidanganya.
 
Asie na hela, 😀😀 siku akizipata jiandae kwa visa na mikasa
 
Back
Top Bottom