nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Mwanaume anayejishusha ni dhaifu na hajui thamani yake.Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Ambaye hana helaInapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Ila hawa ke ukijishusha watakubana mbavu kweliMwenye makosa.
Uzi ungeishia hapaMwenye makosa.
Mume na Mke wote wanapaswa kujishusha kutegemeana na nani kafanya kosa hii husaidia aliyekosewa kushusha hasira na kuruhusu maisha kuendelea.Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Mwenye makosa.
Nakazia 😂Ambaye hana hela