Tetesi: Ndani ya vyama vya Siasa, wamejificha wakimbizi.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.

Chadema kuna wakenya wengi na waganda wachache, na wamejificha kwa sura za kitanzania.

CUF kuna troop ya Mombasa imejificha kwa mgongo WA udini.

CCM ndo usiseme ni mixture.

Wengine hawana vibali, hebu tuchunguze hili swala kwa makini sana.

Ndio maana Mtanzania akianza kung'aa kisiasa au kiharakati ana windwa hasa na kuzushiwa kila jambo baya kama anavyozushiwa Deogratius Kisandu.

Tutafakari halafu, tufanye uchunguzi. Majibu yatakayokuja ni Uzembe WA Nchi kutokujua.

Deogratius Kisandu.
 
ndo maana mambo mengi hayafanywi kizalendo hapa Tanzania bilashaka
 
Hivi sisi binadamu tuna akili timamu kweli????......kwani mtu kuwa mganda,mrwanda,mburundi e.t.c halafu akahamua kuja kuishi tz kuna ubaya gani????.....athari ya hao warwanda kuwa wanachama wa nccr mageuzi au chadema ni ipi???.......kuna haja gani ya sisi binadamu kubaguana???......kwa taarifa yako kuna siku dunia nzima itakuwa taifa moja,i have a dream!![emoji30]
 
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.

Chadema kuna wakenya wengi na waganda wachache, na wamejificha kwa sura za kitanzania.

CUF kuna troop ya Mombasa imejificha kwa mgongo WA udini.

CCM ndo usiseme ni mixture.

Wengine hawana vibali, hebu tuchunguze hili swala kwa makini sana.

Ndio maana Mtanzania akianza kung'aa kisiasa au kiharakati ana windwa hasa na kuzushiwa kila jambo baya kama anavyozushiwa Deogratius Kisandu.

Tutafakari halafu, tufanye uchunguzi. Majibu yatakayokuja ni Uzembe WA Nchi kutokujua.

Deogratius Kisandu.
Hahaha eti CCM ni mixture kwi kwi kwi umenikumbusha Komba aliyesema ccm ni kokoro imebeba kila kitu ukijuacho
 
Hivi sisi binadamu tuna akili timamu kweli????......kwani mtu kuwa mganda,mrwanda,mburundi e.t.c halafu akahamua kuja kuishi tz kuna ubaya gani????.....athari ya hao warwanda kuwa wanachama wa nccr mageuzi au chadema ni ipi???.......kwa taarifa yako kuna siku dunia nzima itakuwa taifa moja,i have a dream!![emoji30]

Tuchunguze wamekujaje kujaje.
 
Hii hoja ya ndugu Kisandu inahitaji mjadala mpana, umeileta wakati muafaka.
 
Hivi sisi binadamu tuna akili timamu kweli????......kwani mtu kuwa mganda,mrwanda,mburundi e.t.c halafu akahamua kuja kuishi tz kuna ubaya gani????.....athari ya hao warwanda kuwa wanachama wa nccr mageuzi au chadema ni ipi???.......kuna haja gani ya sisi binadamu kubaguana???......kwa taarifa yako kuna siku dunia nzima itakuwa taifa moja,i have a dream!![emoji30]
Sina uhakika kama kweli umeelewa mada...ebu rudia kusoma
 
Daaah. Unaweza kujifanya mbabe, kumbe ni foreigner.
 
Anzeni kuuchungu uhalali wa mbunge wa Kiteto na chokochoko za ardhi ya wananchi Partimbo na kutokuheshimu mwenge wa Uhuru.

Tuulinde Uhuru wetu kwa kuwasafisha mamluki hawa na majasusi wa H*I* M* A* E****E
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.

Chadema kuna wakenya wengi na waganda wachache, na wamejificha kwa sura za kitanzania.

CUF kuna troop ya Mombasa imejificha kwa mgongo WA udini.

CCM ndo usiseme ni mixture.

Wengine hawana vibali, hebu tuchunguze hili swala kwa makini sana.

Ndio maana Mtanzania akianza kung'aa kisiasa au kiharakati ana windwa hasa na kuzushiwa kila jambo baya kama anavyozushiwa Deogratius Kisandu.

Tutafakari halafu, tufanye uchunguzi. Majibu yatakayokuja ni Uzembe WA Nchi kutokujua.

Deogratius Kisandu.
 
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.

Chadema kuna wakenya wengi na waganda wachache,y na wamejificha kwa sura za kitanzania.

CUF kuna troop ya Mombasa imejificha kwa mgongo WA udini.

CCM ndo usiseme ni mixture.

Wengine hawana vibali, hebu tuchunguze hili swala kwa makini sana.

Ndio maana Mtanzania akianza kung'aa kisiasa au kiharakati ana windwa hasa na kuzushiwa kila jambo baya kama anavyozushiwa Deogratius Kisandu.

Tutafakari halafu, tufanye uchunguzi. Majibu yatakayokuja ni Uzembe WA Nchi kutokujua.

Deogratius Kisandu.
Ndo maana ZOEZI la kupata VITAMBULISHO vya Taifa ni la KUHARAKISHWA!
Bila kuwa na vitambulisho RASMI vya Watanzania ni sawa na kuliweka taifa MNADANI. Kila aliye na pesa nyingi ANANUNUA.Ni hatari sana!
 
Huyu dogo Kisandu njaa imemfika pabaya Sana, hana pa kushika. Huwa tunawaambia nyie vijana kazi ni kipimo cha utu mnabisha mnataka kuishi kijanja kijanja. Haya sasa ulijitoa kwenye siasa naona unarudi kiaina. Moja ya positives za utawala wa JPM ni kuwaweka kando mliokuwa mnategemea siasa kuishi mjini sasa mnalazimika kuishi kwa jasho. Bora hamia huko kwenye utapeli wa dini tu
 
Back
Top Bottom