Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Kokoro by WCBCCM ni kokoro by kapiteni J Komba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kokoro by WCBCCM ni kokoro by kapiteni J Komba
Nani?Eti na huyu ni Mrundi
Wewe na Kisandu kama vichwa vyenu vipo vizuri fanyeni utafiti kidogo juu ya asili zenu kwa miaka angalau hata miaka 80 kurudi nyuma kabla hamja ropoka ropoka mambo msiyo yajua ninyi vijana, utakuta hamna asili ya hapo mnapo ishi kwa sasa!. Kwa sisi tunaojua hatushangai maana binadamu anatabia ya ku move from one place to another by being forced with several factor. Sisi kama Taifa tunahitaji kila mtu isipokuwa wale tunao ona ni threats kwa Taifa!.Hata kabila la Nyerere ni wahamiaji, wanaposema 'wazanaki?' maana yake umeleta niini? Inasemekana asili yao ni kwa Kagame au Burundi Burundi huko..........
Tukienda na tabia ya kuhoji ipo siku utajua kuwa Magu si msukuma...........
Mbona utetezi wako ni dhaifu mno au umeguswa. Kupendana kwa watanzania sio halali ya kuwafanya ambao sio wazawa kuongoza nchiWewe na Kisandu kama vichwa vyenu vipo vizuri fanyeni utafiti kidogo juu ya asili zenu kwa miaka angalau hata miaka 80 kurudi nyuma kabla hamja ropoka ropoka mambo msiyo yajua ninyi vijana, utakuta hamna asili ya hapo mnapo ishi kwa sasa!. Kwa sisi tunaojua hatushangai maana binadamu anatabia ya ku move from one place to another by being forced with several factor. Sisi kama Taifa tunahitaji kila mtu isipokuwa wale tunao ona ni threats kwa Taifa!.
Inawezekana kuna ambao hawakufuata legal channels. Sasa sijui hili limekaaje?Tuchunguze wamekujaje kujaje.