DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Huwa sikuelewi mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamiiforum inabidi ilinde sana haki za binadam. ..Hivi Pombe maisha yake anayaendesha kupitia siasa au biashara mkuu naomba jibuHuyu dogo Kisandu njaa imemfika pabaya Sana, hana pa kushika. Huwa tunawaambia nyie vijana kazi ni kipimo cha utu mnabisha mnataka kuishi kijanja kijanja. Haya sasa ulijitoa kwenye siasa naona unarudi kiaina. Moja ya positives za utawala wa JPM ni kuwaweka kando mliokuwa mnategemea siasa kuishi mjini sasa mnalazimika kuishi kwa jasho. Bora hamia huko kwenye utapeli wa dini tu
Eti na huyu ni MrundiKuna watu walizusha eti Mkapa ni Mnyasa wa Malawi.
Hata Juliana Shonza ni Mmalawi
Hapana mrundi alizushiwa Nyerere huyu wanazusha ni mnyawanda.Eti na huyu ni Mrundi
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.
Chadema kuna wakenya wengi na waganda wachache, na wamejificha kwa sura za kitanzania.
CUF kuna troop ya Mombasa imejificha kwa mgongo WA udini.
CCM ndo usiseme ni mixture.
Wengine hawana vibali, hebu tuchunguze hili swala kwa makini sana.
Ndio maana Mtanzania akianza kung'aa kisiasa au kiharakati ana windwa hasa na kuzushiwa kila jambo baya kama anavyozushiwa Deogratius Kisandu.
Tutafakari halafu, tufanye uchunguzi. Majibu yatakayokuja ni Uzembe WA Nchi kutokujua.
Deogratius Kisandu.
Hivi sisi binadamu tuna akili timamu kweli????......kwani mtu kuwa mganda,mrwanda,mburundi e.t.c halafu akahamua kuja kuishi tz kuna ubaya gani????.....athari ya hao warwanda kuwa wanachama wa nccr mageuzi au chadema ni ipi???.......kuna haja gani ya sisi binadamu kubaguana???......kwa taarifa yako kuna siku dunia nzima itakuwa taifa moja,i have a dream!![emoji30]
Kumbe huwa wanazushiwa, basi haina shida kama ni uzushiNccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge.