Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa.

Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama.

Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.

1784630144227.jpg
Screenshot_20260721_135305_Chrome.jpg
 
Bwana bwana tusidanganyane, kwenye vita kuna propaganda nyingi sana. Unakuta ghorofa kubwa yenye makazi ya watu imelipuliwa usiku halafu unaambiwa watu 2 wamepoteza maisha na wengine 6 wamejeruhiwa.
Huwezi kujua ukweli, tusubiri mshindi ndiyo tunaweza ku speculate
 
Je kule Iran kwenyewe kukoje au Wairan wenyewe hawafi ni majini.
 
Back
Top Bottom