kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Zilipendwa inakimbiza kitaani yaNi inshort ni ngoma inayojiendesha yenyewe kutokan na creativity yake, hakuna nguvu ya nje inayotumika (promo, mange na jumuiya yake na vitu ka izo) n kadri mda unavoenda ndo nguvu ya domo inaendelea kujidhihirisha.....Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha
Wakikujib nitagHivi mtu anaemshabikia mcheza ndondo anaakili timamu kweli maana haiwezekani ukawa mshabiki wa kichuya then ukasema samatta hajui mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajaitambulisha kwny radio yaani nikimanisha hawajaifNyia media tour kama anaejifanya mpinzani wao anavofanya.....ni ngoma ilipondwa kwa kila aina ya dharau kejeri za kutosha haijafanyiwa kampeni wala nn lakin cha kushangaza sas kitaa inakimbiza mbaya....youtube gape linazid kupungua tu.Haina promo? Una uhakika? Fuatilia vzr kabla hujakurupuka kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanichokoza kusudKumbe ma hanithi nao wana mademu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hiyo username yako tu imekaa kishoga shogaa.
UnaumiaMwanaume aliye kamilika atajiitaje muosha rungu?
Halafu kila kukicha upo na wasichana tu stori na wanaume wenzako huna .
Mpaka hapo inaonesha kabisa kwamba wewe sio riziki.
Hivi una vuta bha..ngeNdio nachukia
Sipendi kuwaona wala kuwasikia mashoga.
Alikuwepo mmoja anajiita rayyoung akafungiwa bado wewe sasa.
Hahahahaha! Mwana katoa boko ambalo halitamwacha salama.Zilipendwa inakimbiza kitaani yaNi inshort ni ngoma inayojiendesha yenyewe kutokan na creativity yake, hakuna nguvu ya nje inayotumika (promo, mange na jumuiya yake na vitu ka izo) n kadri mda unavoenda ndo nguvu ya domo inaendelea kujidhihirisha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepigilia msumali....pamoja na promo lote lile na watu kukesha youtube lkn bado domo anazid kuwakojozya tuNyimbo ya kiba ni nzuri ila ika uku mitaani zilipendwa inapigwa sana
Nipo apa tandika nasikia zilipendwa tu seduce sijui imejifia wpHahahahaha! Mwana katoa boko ambalo halitamwacha salama.
Clouds haoHizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo
Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
Hahahaha!
Nani kasema haifanyi vizuri. Nenda youtube utuambie iko nmb ngap kwny trend mpk leo.Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha