Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha
Zilipendwa inakimbiza kitaani yaNi inshort ni ngoma inayojiendesha yenyewe kutokan na creativity yake, hakuna nguvu ya nje inayotumika (promo, mange na jumuiya yake na vitu ka izo) n kadri mda unavoenda ndo nguvu ya domo inaendelea kujidhihirisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina promo? Una uhakika? Fuatilia vzr kabla hujakurupuka kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajaitambulisha kwny radio yaani nikimanisha hawajaifNyia media tour kama anaejifanya mpinzani wao anavofanya.....ni ngoma ilipondwa kwa kila aina ya dharau kejeri za kutosha haijafanyiwa kampeni wala nn lakin cha kushangaza sas kitaa inakimbiza mbaya....youtube gape linazid kupungua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo ipo kwenye kundi moja na nyimbo za kina marijani, remmy nk nk.
Nimewaza tu kwa sauti
 
Huyu diamond sio wakulinganisha na wasanii wa Tz...katangaza sana nchi yetu mpk nasikia raha maana hata rafiki zangu walio south na zambia wanasema ukiitaja Tz wakwanza kuuliziwa ni Diamond..hii n nzuri sana

Mjumbe wa JF kutoka Kiseke- Mwanza
 
Mimi mtazamaji tu, but one must surrender soon na ndio utakuwa mwisho wake
 
0e0dffd549473aa05678f1103a44b651.jpg
 
Zilipendwa inakimbiza kitaani yaNi inshort ni ngoma inayojiendesha yenyewe kutokan na creativity yake, hakuna nguvu ya nje inayotumika (promo, mange na jumuiya yake na vitu ka izo) n kadri mda unavoenda ndo nguvu ya domo inaendelea kujidhihirisha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Mwana katoa boko ambalo halitamwacha salama.
 
Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo

Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
Clouds hao
 
Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha
Nani kasema haifanyi vizuri. Nenda youtube utuambie iko nmb ngap kwny trend mpk leo.
 
Back
Top Bottom