kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Zilipendwa inakimbiza kitaani yaNi inshort ni ngoma inayojiendesha yenyewe kutokan na creativity yake, hakuna nguvu ya nje inayotumika (promo, mange na jumuiya yake na vitu ka izo) n kadri mda unavoenda ndo nguvu ya domo inaendelea kujidhihirisha.....Ukisema hivyo unakosea,maana mulisema jamaa ametaka kiti,ninyi mukampa kitanda na akalala kabisa, sasa Leo tena munaanza kutoa visingizio kuwa hamupati promo ndio maana nyimbo ya zilipendwa haifanyi vizuri.hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app