Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Huyo niliyemjibuNani kasema haifanyi vizuri. Nenda youtube utuambie iko nmb ngap kwny trend mpk leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo niliyemjibuNani kasema haifanyi vizuri. Nenda youtube utuambie iko nmb ngap kwny trend mpk leo.
Washaanza kuhaha maji shingoni hizi ni mbio ndefu mwenye pumzi ndo ataibuka mshindi....siyo nguvu ya soda.Nani kasema haifanyi vizuri. Nenda youtube utuambie iko nmb ngap kwny trend mpk leo.
Bint wa Kihaya una matata wewe.Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo
Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA