Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Ndani ya Wiki mbili, zilipendwa imekuwa Zilipendwa

Kuipenda simba haimanishi niichukie yanga,,, kama unamkubali Alikiba haimanishi umuchukie diamond,, kiukweli kwa jinsi mziki ulivyo toka mbali na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa barani afrika na dunia kiujumla diamond ni mtu pekee aliye fanikisha kutangaza mziki wa tanzania kwa karne ya leo, pia alikiba ni msanni mkubwa xna tanzania na mziki wake ni mzuri,, big up sana domo,, haijaeishi kiasi gani wajinga wanakudis lakini unastahili heshima kubwa tz!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a9de131be71765d48a69d5f0ba23a66f.jpg
 
Hizi pia ni dalili za muziki kuwa mbovu, maana ndani ya wiki mbili tu, tayari muziki wao umepotea na Umekuwa ZILIPENDWA kama lilivyo jina na maudhui ya wimbo

Aise Wasafi muda si muda itakuwa wachafu na hatimaye,....… ZILIPENDWA
Bint wa Kihaya una matata wewe.
 
Back
Top Bottom