Ndani ya wodi.. Hospital ya Apollo India

Ndani ya wodi.. Hospital ya Apollo India

binafsi nimefika apollo india.. baba yangu alifanyiwa surgery ya kichwa kuondoa brain tumor... tulikaa apollo mwezi mmoja wodin kwenye block linaitwa international pavillion kwa waliofika health city hyderabad apollo wanalijua.. matibabu yote kila kitu yaligharimu usd 9000 ila hizo treatment tulizopewa kama wafalme... mwezi mzima wodini.. misosi tuliyokuwa tunapewa si mchezooo.. hadi magazeti lila siku yanaletwa wodini na simu wodini for free...

nashangaa wastara kwa milion 40 ni matibabu ya mguu tu au na vinginevyooo... maana ukiwa mteja wa matibabu ya usd 10,000 tu india ni kama mfalme
Je kuna mavazi maalum ya mgonjwa? Unaionaje hii picha?
 
Ahahaha yupo Apollo ya Tandale ya India...akili kitu kingine bwana,yaani alishindwa kabisa hata kumtafuta mtu mwenye idea kidogo amuelekeze namna ya kuweka cannula yeye akaamua kujipachikia anavyojua yeye.atakuwa na mwisho mbaya sana kwa sanaa hizi anazofanya.
 
Lakini hivi cannula huwa inaangalia mbele au nyuma. Maana hapo ni mwisho kabisa wa mkono karibia na vidole . Inakuwaje cannula iangalie kwenye vidole na sio kwenye upande wa mkono. Madaktari tusaidieni Tafadhali
Cannula huchomwa kwa kutoka upande wa vidoleni na kuelekea upande wa begani
 
Ahahaha yupo Apollo ya Tandale ya India...akili kitu kingine bwana,yaani alishindwa kabisa hata kumtafuta mtu mwenye idea kidogo amuelekeze namna ya kuweka cannula yeye akaamua kujipachikia anavyojua yeye.atakuwa na mwisho mbaya sana kwa sanaa hizi anazofanya.
Hii ya peke yake chumbani halafu akajiselfie... Bob ni mfuatiliaji atakula kichwa
 
Hivi kwanini Mange asimuache tu huyu mama wa watu..? Kwani Cannura inamuhusu,,? Aaghh,, mwambie mhudumu aniongeze Light nyingine si zimeshuka bei,,!!!
Labda tukuletee safari tu mkuu, maana wanywaji wa Light wamekua wengi na sasa zinawahi kuisha
 
Back
Top Bottom