Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hata google na you tube?Ahahaha yupo Apollo ya Tandale ya India...akili kitu kingine bwana,yaani alishindwa kabisa hata kumtafuta mtu mwenye idea kidogo amuelekeze namna ya kuweka cannula yeye akaamua kujipachikia anavyojua yeye.atakuwa na mwisho mbaya sana kwa sanaa hizi anazofanya.