Ndani ya wodi.. Hospital ya Apollo India

Je kuna mavazi maalum ya mgonjwa? Unaionaje hii picha?
 
Ahahaha yupo Apollo ya Tandale ya India...akili kitu kingine bwana,yaani alishindwa kabisa hata kumtafuta mtu mwenye idea kidogo amuelekeze namna ya kuweka cannula yeye akaamua kujipachikia anavyojua yeye.atakuwa na mwisho mbaya sana kwa sanaa hizi anazofanya.
 
Lakini hivi cannula huwa inaangalia mbele au nyuma. Maana hapo ni mwisho kabisa wa mkono karibia na vidole . Inakuwaje cannula iangalie kwenye vidole na sio kwenye upande wa mkono. Madaktari tusaidieni Tafadhali
Cannula huchomwa kwa kutoka upande wa vidoleni na kuelekea upande wa begani
 
Hii ya peke yake chumbani halafu akajiselfie... Bob ni mfuatiliaji atakula kichwa
 
Hivi kwanini Mange asimuache tu huyu mama wa watu..? Kwani Cannura inamuhusu,,? Aaghh,, mwambie mhudumu aniongeze Light nyingine si zimeshuka bei,,!!!
Labda tukuletee safari tu mkuu, maana wanywaji wa Light wamekua wengi na sasa zinawahi kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…