Ndani ya wodi.. Hospital ya Apollo India

Hata google na you tube?
 
Tatizo wanaume wa Dar mlisha mzunguka hadi mkamchoka, sasa atakula wapi.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Me bado aiseeee.... Jicho na lips zimenitia hamasa.... Ngoja arudi bana...[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kila mbuz atakula kwa uref wa kamba wanaoumwa serious wa kina majuto haataa hawawaziw
 
mnaodhihaki maladhi
ya wengine endeleeni kilema mtu aombi, na kama ni kizuri basi ngoja siku upate upofu ili tukuchangie, nafikiri ni utoto mkikuwa mtaacha
 
Hivi kwanini Mange asimuache tu huyu mama wa watu..? Kwani Cannura inamuhusu,,? Aaghh,, mwambie mhudumu aniongeze Light nyingine si zimeshuka bei,,!!!



Zimefika ngapi mkuu maana nasubiri zifike 700 ndo nirudie pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…