The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza juhudi za raia. Kuanzia Oktoba 29 yamefanyika mauaji makubwa ya raia lakini cha kushangaza wasanii walikua kimya sasahivi wanatuleta unafiki wa ajabu wakijifanyanya wapo pamoja na raia kwa yaliyotokea.
Mchekeshaji Ndaro anasahau amekuwa maarufu na mafanikio makubwa kwa sababu ya raia hawahawa, anajisahaulisha wajibu wake kwa raia.
Na hizi ni baadhi ya salamu za raia kwa Ndaro
Mchekeshaji Ndaro anasahau amekuwa maarufu na mafanikio makubwa kwa sababu ya raia hawahawa, anajisahaulisha wajibu wake kwa raia.