The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mataifa mengine wasanii iwe wa vichekesho, miziki au uigizaji huwatetea mashabaki zao lakini hapa bongo yalikuwa yanashusha kejeli tu. ******* tu.Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza juhudi za raia. Kuanzia Oktoba 29 yamefanyika mauaji makubwa ya raia lakini cha kushangaza wasanii walikua kimya sasahivi wanatuleta unafiki wa ajabu wakijifanyanya wapo pamoja na raia kwa yaliyotokea.
Mchekeshaji Ndaro anasahau amekuwa maarufu na mafanikio makubwa kwa sababu ya raia hawahawa, anajisahaulisha wajibu wake kwa raia.
Na hizi ni baadhi ya salamu za raia kwa Ndaro
Kuungana na watesi wa watanzania kwako sii kosa,mtesi anapodharau haki,hali na maslahi ya mtanzania naweunaungana naye nakumsifia anafanya vizuri kwako sii kosa wala kuwakosea watanzania!Hongera kwa kutokuwa na makosa,ila usizidi kuwachokoza wenye maumivu hata kama wanakulipa uwasifie lazima ujue pia kwanini wanakulipa na wanachokulipa kinatoka wapi.Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi zikiwalenga wasanii na watu maarufu kwa kutosimama na raia wanapopambania utawala wa haki badala yake wasanii wamekuwa upande wa watawala na kudidimiza juhudi za raia. Kuanzia Oktoba 29 yamefanyika mauaji makubwa ya raia lakini cha kushangaza wasanii walikua kimya sasahivi wanatuleta unafiki wa ajabu wakijifanyanya wapo pamoja na raia kwa yaliyotokea.
Mchekeshaji Ndaro anasahau amekuwa maarufu na mafanikio makubwa kwa sababu ya raia hawahawa, anajisahaulisha wajibu wake kwa raia.
Na hizi ni baadhi ya salamu za raia kwa Ndaro
Hapa wanatafuta huruma ya mtesi wa mtanzania hawana loloteWaje mtaani tuwaambie walichokosea na tuwakumbushe majukumu yao
Wote wanaotoa pole n wangese tuuHapa wanatafuta huruma ya mtesi wa mtanzania hawana lolote