New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Ana mafanikio gani kwenye vpl zaidi ya kuifunga yanga
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan kuna ubaya gan,mbona mourihno aliomba apewe man united,hiz ni zama za uwazi##HASHTAGmbaovyumavimebanaHASHTAG##
Dalili ya mvua..???Ana mafanikio gani kwenye vpl zaidi ya kuifunga yanga
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Usiusemee moyo,ckhz hakuna habari za kutunga kuna kifungu kinawabana wasije wakaitwa wachochez na kufungiwa,nadhan umenipata
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wampe jmn maana kachoka kuwafunga dailyNipeni Mimi yanga hiyoo,hayo ni maneno ya kocha wa mbao,kwakwel hata mie naunga mkono huyu jamaa ni kifaa sana
Tatizo hukubali kuwa msaidiziPamoja na yote ila kwa makocha hawa akina fuso Mara mia ya huo
Sio enzi za Malinzi hizi mkuuNdiyo raha yake.
Kwani kuifunga Yanga sio mafanikio?Ana mafanikio gani kwenye vpl zaidi ya kuifunga yanga
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Tusubiri mwisho wa ligi. Si Malinzi wala Karia wanaocheza mpiraSio enzi za Malinzi hizi mkuu
Mkuu, mafanikio ni kubeba ndoo. Nyingine zote mbwembwe tu. Kuzifunga Yanga na Simba huku unaponea tundu la sindano kushuka daraja si mafanikio hata kidogoKwani kuifunga Yanga sio mafanikio?
sayansi mmejaribu kwa mbao imeshindikanaMganga yupi tena, Mpira sayansi kaka
Kuifunga Yanga na kupoteza kwa wengine sio mafanikioKwani kuifunga Yanga sio mafanikio?