Ndayiragije: Nipeni mimi Yanga hiyo

Ndayiragije: Nipeni mimi Yanga hiyo

Kwan kuna ubaya gan,mbona mourihno aliomba apewe man united,hiz ni zama za uwazi##HASHTAGmbaovyumavimebanaHASHTAG##

Sawa, Mourinho aliomba---lakini huyu wa kwetu sijui nani hajaomba bali amewekewa maneno mdomoni
 
Sawa, Mourinho aliomba---lakini huyu wa kwetu sijui nani hajaomba bali amewekewa maneno mdomoni
Usiusemee moyo,ckhz hakuna habari za kutunga kuna kifungu kinawabana wasije wakaitwa wachochez na kufungiwa,nadhan umenipata
 
Usiusemee moyo,ckhz hakuna habari za kutunga kuna kifungu kinawabana wasije wakaitwa wachochez na kufungiwa,nadhan umenipata

Sawa lakini siyo wote wanaotekeleza...Ni sawa na madereva wa Tanzania ambao sheria zinawabana wasiendeshe kwa kasi kwenye zebra lakini hawazingatii licha ya uwezekano wa kupigwa faini na kwenda jela.
 
Yanga kwa mbao ni sawa na mke kwa mume hata aongee vp bdo mke atakua chini ya mume daily [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani kuifunga Yanga sio mafanikio?
Mkuu, mafanikio ni kubeba ndoo. Nyingine zote mbwembwe tu. Kuzifunga Yanga na Simba huku unaponea tundu la sindano kushuka daraja si mafanikio hata kidogo
 
Kwanza amewadhalilisha mbao yake hakutakiwa kusema hayo akiwa bado kocha. Tamaa hizi
 
Back
Top Bottom