Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Falcon ..... Ni treasure ya serikali ya nchi gani mkuu?Hapana , Zanzibar wapo zaidi ya miaka 60 na walikuwa wanamilikiwa na watu Bi nafsi na mpka muda huu wapo walio miliki na Nina wafahamu, ispokuwa wanyama hawa miaka mingi wameshindwa kuendelezwa kutokana na urasimu.
Kama ni nyara za serikali basi hata huko nje ingekuwa ni vigumu kusafirisha hawa wanyama, ninavyo jua mimi nyara za serikali ni wanyama pori.
Kuna mnyama namtafuta anaitwa falcon, huyu ndege huku nje kusafirisha mayai yake ni kosa la jinai kwa sababu ni treasure ya serikali, tausi sio treasure ya serikali.
Hahahaha sawa mkuu, bora tuchukue kutoka huko huko ili kukwepa mambo ya kutafsiri vitu kama computer,laptop mana kiswahili chake ni kigumu sana.
Mwaka jana kiongozi mwezi wa kumiMwaka gani huo
mkuu?
The called golden pheasant brouAnayewafahamu hawa ndege kwa kiswahili wanaitwaje na je, Tanzania wanapatikana ?
View attachment 1478691
View attachment 1478692
... BAKITA iwatungie jina sasa kama kawaida yao lugha hutungwa mezani! Nadhani waitwe fizanti au "mchaparo nyuma".Kiukweli sifahamu mkuu na pia sidhani Kama wana Jina la kiswahili labda ngoja wawe maarufu .....ndo tutapata Jina la kiswahili....
... BAKITA iwatungie jina sasa kama kawaida yao lugha hutungwa mezani! Nadhani waitwe fizanti au "mchaparo nyuma".
We ni mtaalamu wa hayo mambo??.Ring necked pheasant originated From China
Ni watamu sana au kawaida tuuh.Hawapo Tanzania mkuu japo kuna ndege aina fulani wanafanana nao. Wapo china, tumewala pale jian xi hotel