Hapana , Zanzibar wapo zaidi ya miaka 60 na walikuwa wanamilikiwa na watu Bi nafsi na mpka muda huu wapo walio miliki na Nina wafahamu, ispokuwa wanyama hawa miaka mingi wameshindwa kuendelezwa kutokana na urasimu.
Kama ni nyara za serikali basi hata huko nje ingekuwa ni vigumu kusafirisha hawa wanyama, ninavyo jua mimi nyara za serikali ni wanyama pori.
Kuna mnyama namtafuta anaitwa falcon, huyu ndege huku nje kusafirisha mayai yake ni kosa la jinai kwa sababu ni treasure ya serikali, tausi sio treasure ya serikali.