Ndege aina hii wanaitwaje?

Ndege aina hii wanaitwaje?

Hapana , Zanzibar wapo zaidi ya miaka 60 na walikuwa wanamilikiwa na watu Bi nafsi na mpka muda huu wapo walio miliki na Nina wafahamu, ispokuwa wanyama hawa miaka mingi wameshindwa kuendelezwa kutokana na urasimu.

Kama ni nyara za serikali basi hata huko nje ingekuwa ni vigumu kusafirisha hawa wanyama, ninavyo jua mimi nyara za serikali ni wanyama pori.

Kuna mnyama namtafuta anaitwa falcon, huyu ndege huku nje kusafirisha mayai yake ni kosa la jinai kwa sababu ni treasure ya serikali, tausi sio treasure ya serikali.
Falcon ..... Ni treasure ya serikali ya nchi gani mkuu?
 
Kiukweli sifahamu mkuu na pia sidhani Kama wana Jina la kiswahili labda ngoja wawe maarufu .....ndo tutapata Jina la kiswahili....
... BAKITA iwatungie jina sasa kama kawaida yao lugha hutungwa mezani! Nadhani waitwe fizanti au "mchaparo nyuma".
 
Back
Top Bottom