Ndege aina hii wanaitwaje?

Ndege aina hii wanaitwaje?

Ring Necked Pheasants $50/pr

Swinhoe Pheasants $70/pr

Golden Pheasants $60/pr

Nepal Kalij Pheasants $70/pr

Lady Amherst Pheasants $60/pr

Reeves Pheasants $70/pr

Silver Pheasants $60/pr

Siamese Fireback Pheasants $600/pr
Huko Burke's backyard farm Us
 
Kuna viumbe hata kula utashindwa.

They are too beautiful to die


Na sio kila kiumbe kinaliwa, mfano baadhi ya ndege ni kwa ajili ya mapambo (decoratives kama kasuku) na wapo kwa ajili ya sauti zao tamu (singing kama nightingales) na wapo kwa ajili ya mawindo (hunting kama eagles) na wapo kwa ajili ya ubebaji wa mizigo midogo (carriers kama domestic dove/pigeon) na wapo kwa ajili ya chakula.🤣🤣
 
tupo pamoja mkuu Naamini mpaka ukamilishe nitakuwa Naamimi nishaanzisha shamba langu

E353A0D3-1E67-4290-AA09-124B82BBF644-3039-000004267961907D.jpg

7FC675CD-3002-41C3-A1D4-38529A6126CD-3039-00000426FDE01126.jpg

54EDAE23-EFF9-4BB6-9F87-EF489E55EB30-3039-00000428A5F9DDF2.jpg

62990299-6FA2-45A9-825D-76DDAB560E89-3039-00000428176435B0.jpg

FAA792C5-B15E-459B-9CBF-9EF7A12CE6F6-3039-00000426E33F3538.jpg

Aina hizi wapo Tanzania?
 
Mkuu ukipata mbegu yake Tafadhali, na Mimi nitajiunga na wewe ili niwafuge.

Wazuri sana
Hivi mkuu Kapumpuli, hawa hawawezi kuwa ni katika nyara za taifa kiasi kwamba ikatakiwa mmiliki awe na kibali cha serikali ili aweze kuwafuga
 
Serikali Itasema Nyara!!![emoji3][emoji16]

Hapana , Zanzibar wapo zaidi ya miaka 60 na walikuwa wanamilikiwa na watu Bi nafsi na mpka muda huu wapo walio miliki na Nina wafahamu, ispokuwa wanyama hawa miaka mingi wameshindwa kuendelezwa kutokana na urasimu.

Kama ni nyara za serikali basi hata huko nje ingekuwa ni vigumu kusafirisha hawa wanyama, ninavyo jua mimi nyara za serikali ni wanyama pori.

Kuna mnyama namtafuta anaitwa falcon, huyu ndege huku nje kusafirisha mayai yake ni kosa la jinai kwa sababu ni treasure ya serikali, tausi sio treasure ya serikali.
 
Hahahaha sawa mkuu, bora tuchukue kutoka huko huko ili kukwepa mambo ya kutafsiri vitu kama computer,laptop mana kiswahili chake ni kigumu sana.

Si tutoe jina tu wenyewe hapa , kila mmoja apendekeze [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom