Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Kibongobongo sijui ila unaeza pata majuu huko mkuu....Mbegu zipo , nitakutafuta Insha Allah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibongobongo sijui ila unaeza pata majuu huko mkuu....Mbegu zipo , nitakutafuta Insha Allah
Tupo pamoja mkuu Naamini mpaka ukamilishe nitakuwa Naamimi nishaanzisha shamba languNdio nipo kwenye researche mkuu nataka nilete hizi mbegu..
Kuna viumbe hata kula utashindwa.
They are too beautiful to die
Jina la kiswahili walitoe wapi wakati huku hawapoKiukweli sifahamu mkuu na pia sidhani Kama wana Jina la kiswahili labda ngoja wawe maarufu .....ndo tutapata Jina la kiswahili....
Picha namba Moja wapo....namba mbili so ni Tausi. Hao nenda magogoni.... 😂😂😂
Ngoja wakiwa maarufu utaasikia Jina lao.......Jina la kiswahili walitoe wapi wakati huku hawapo
Hivi mkuu Kapumpuli, hawa hawawezi kuwa ni katika nyara za taifa kiasi kwamba ikatakiwa mmiliki awe na kibali cha serikali ili aweze kuwafugaMkuu ukipata mbegu yake Tafadhali, na Mimi nitajiunga na wewe ili niwafuge.
Wazuri sana
Kwenye orodha ya ndege wanaohusika kama nyara sijajua kama hawa wamo.Hivi mkuu Kapumpuli, hawa hawawezi kuwa ni katika nyara za taifa kiasi kwamba ikatakiwa mmiliki awe na kibali cha serikali ili aweze kuwafuga
Sawa mkuu!Mbegu zipo , nitakutafuta Insha Allah
Serikali Itasema Nyara!!![emoji3][emoji16]
Hahahaha sawa mkuu, bora tuchukue kutoka huko huko ili kukwepa mambo ya kutafsiri vitu kama computer,laptop mana kiswahili chake ni kigumu sana.Ngoja wakiwa maarufu utaasikia Jina lao.......