Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hongera sana, sana, sana, wewe haustahili kuwa na sisi humu JF, yaani unakwenda kwa ndege kupumzika Cape Town kwa siku tatu! JF kweli kuna matajiri japo mengine hayajui jinsi ya kupata tikiti ya ndege yanadhani zinauzwa Mbezi kwa Magufuli.Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Hongera bosi.