Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Ndege gani Cheap (Dar -Cape Town)?

Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Hongera sana, sana, sana, wewe haustahili kuwa na sisi humu JF, yaani unakwenda kwa ndege kupumzika Cape Town kwa siku tatu! JF kweli kuna matajiri japo mengine hayajui jinsi ya kupata tikiti ya ndege yanadhani zinauzwa Mbezi kwa Magufuli.
Hongera bosi.
 
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Unaenda kupumzika halafu tiketi ya dola 800 inakushinda? We utakuwa mzamiaji.
 
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu.
Eg. KQ (Dar-CPT-Dar) 889 USD,
Dep: 11/05
Ret: 14/05
Avic town iko kigamboni
 
Back
Top Bottom