Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Ndege ngapi?????
Sisi hatuna hata nusu ndege
 
Nina hakika Hilo ni zoezi la kuigeuza kifusi iran!
ayatola anaota Kufa Kufa...
 
Israel inaisaidia Serikali ya Lebanon sana, msije shangaa baada ya Vita wakaanzisha ushirikiano
Yeah. Hilo linaweza kuwa ni sahihi sana kwani IDF inachokifanya kwa sasa ni kama inaisaidia nchi ya Lebanon kumfurusha "Jambazi" aliyejikita na kutia mizizi ndani ya nchi ya Lebanon halafu "Jambazi" huyo amekomaa hadi amefikia hatua ya kiwango cha kuweza kuiingiza nchi ya Lebanon (Taifa huru la Lebanon) katika vita na Nchi Jirani yake ambayo ni nchi ya Israel. Hakika hiyo ni sadaka kubwa Myahudi anatoa kwa ndugu yake i.e. Israeli inaikomboa Lebanon kutoka makucha ya Hezbollah chini ya ufadhili wa Iran. Ikumbukwe kwamba Hezbollah (kama ilivyo kwa HAMAS )ni kikundi cha kisiasa chenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Group) lakini kuna kitengo cha Kijeshi ndani yake na kinafadhiliwa na Iran (mafunzo na silaha). Ndo mana Hezbollah na HAMAS vikiwemo vikundi vingine e.g. Houth(Yemen) nk. wanadiriki kumtunishia msuli Myahudi kwani wanamtegemea "Baba lao -Baunsa" Iran.
 
Hivi huna kazi za kufanya au unalipwa kwa umbea usiokuhusu mbona kina vitu vingi vya kuandika vya nchi yako?kila leo israel,israel,israel,nenda kaungane nao basi
 
Hivi ni rahisi ndege mia tena za kivita kua angani eneo moja kwa lisaa lizima kabla hazijagongana?
 
Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Hakuna Yahudi ataishi kwa amani ndani ya Middle East. Hivi vita wanavyovichokoza ndio vitasababisha anguko lao. Soon mataifa yote ya kiarabu yataamka na kutengeneza pande mbili...either uwe na wayahudi au uwe na Waislam.

Huu ni mwanzo wa vita vingi vidogo vidogo kabla ya kuja Malhama al kubra (Vita kubwa na ya mwisho ) hapa duniani.

Mtume Muhammad (s a.w) alishaeleza haya kwa undani kabisa na kukusanyika kwa mayahudi katika ardhi ya palestina hakujaja kwa bahati mbaya bali ni mpango wa Mungu katika kukifuta kizazi chote cha Mayahudi.

Ni suala la muda watu watakuja kuelewa hivi vita
 
Soon haya mataifa yanayowasaidia wayahudi nayo yataingia katika mizozo ya vita kubwa na yatashindwa kupeleka misaada kwa mayahudi na hapo ndipo mayahudi watakapojua hasira za waislam.
 
Unaifadhi adui wa mtu alafu anashambulia kutokea kwako kwanini usishambuliwe?
Exactly Yes. Watu wanadhani HAMAS ndo Palestina na Hezbollah ndo Lebanon kitu ambacho sio sahihi hata kidogo. HAMAS na Hezbollah ni makundi ya kisiasa lakini yenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Groups)na yana kitengo cha kijeshi ndani yake. Palestina ni nchi huru na Lebanon pia ni nchi huru. Makundi hayo yameimarishwa na kufadhiliwa na nchi ya Iran (mafunzo na silaha za kivita) ndo mana yanathubutu kuanzisha vita na nchi ya Israeli. Anachokifanya Israel ni kuyasambaratisha na kuyatokomeza makundi hayo yakiwa mumo humo ndani ya nchi yalipo. Kwa mtazamaji au msomaji asiyejua undani wa kinachoendelea atadhani Israel inapigana vita na Palestina au na Lebanon kitu ambacho sio. Adui Mlengwa ni Hezbollah ndani ya nchi ya Lebanon na HAMAS ndani ya nchi ya Palestina. Palestina na Lebanon kama nchi huru hazina bifu na Israel ila sasa imeshakuwa kama ulivyosema "unamhifadhi adui halafu anashambulia akitokea kwako"
 
Mtume Muhammad (s.a.w) alisema itafika kipindi myahudi atakimbia kujificha chini ya mti ila mti utasema kumwambia mwislam kuwa njoo hapa kuna myahudi kajificha umuue

Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."

(Sahih bukhar)
 
Mtume Muhammad (s.a.w) alisema itafika kipindi myahudi atakimbia kujificha chini ya mti ila mti utasema kumwambia mwislam kuwa njoo hapa kuna myahudi kajificha umuue

Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."

(Sahih bukhar
 
Narrated `Abdullah bin `Umar:
Allah's Messenger (ﷺ) said, "You (i.e. Muslims) will fight with the Jews until some of them will hide behind stones. The stones will (betray them) saying, 'O `Abdullah (i.e. slave of Allah)! There is a Jew hiding behind me; so kill him.'"

(Sahih Bukhar)
 
Abu Hurairah (May Allah be pleased with him) said:
The Messenger of Allah(ﷺ) said, "The Last Hour will not come until the Muslims fight against the Jews, until a Jew will hide himself behind a stone or a tree, and the stone or the tree will say: 'O Muslim, there is a Jew behind me. Come and kill him,' but Al-Gharqad tree will not say so, for it is the tree of the Jews."

[Al-Bukhari and Muslim].
 
Hivi nyie watu wa dini mbona mnafundishwa ugoro hivi halafu mnakubali?

Halafu nyie waislamu, mbona mnaaminishwa kana kwamba ''Yahudi'' siyo binadamu?

Jinga sana nyinyi!
 
Inaonekana huna uelewa juu ya ajenda kuu ya wayahudi.

Wayahudi si tu wanapambana na HAMAS au Hezbollah bali wanataka kuua kila chembechembe ya Uislam katika Middle East.

Vita ya wayahudi dhidi ya waislam haijaanza leo tu bali zaidi ya miaka 1400 iliyopita kipindi Mtume Muhammad s.a.w yupo
 
Hivi nyie watu wa dini mbona mnafundishwa ugoro hivi halafu mnakubali?

Halafu nyie waislamu, mbona mnaaminishwa kana kwamba ''Yahudi'' siyo binadamu?

Jinga sana nyinyi!
Wewe ni kondoo uliyeaminishwa kuwa mayahudi ni kizazi teule kwa Mungu ndio maana huwezi kuelewa ila cha kukusaidia tu unaweza kuiangalia hii documentary ujue kuwa mayahudi sio binadamu bali ni mashetani



View: https://m.youtube.com/watch?v=mF6B5UVupyA
 
Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Acha hii ya juzi
Nilikuwa huko Middle East mwaka 1983 wakati wa Lebanon waliingia na malori mawili yaliyokuwa yamejaa mabomu kwenye majengo waliokuwa wanakaa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa
Walikufa 307 wote pamoja
Hawa walebanese hawajaanza leo
Yaani mpaka watoto walikuwa wanachezea hand grande kama mpira wakitupiana
Nimeingia mpaka Beirut miaka hiyo kupitia boarder ya Jordan
Vita sio mchezo muisikie tu
 
Shindwa ewe mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…