Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege ngapi?????Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya leo Oktoba 7 ndege za Jeshi la IDF zaidi ya 100 zimefanya mashambuluzi makubwa zikilenga shabaha na kusambaratisha maeneo takribani 120 yaliyo ngome kuu za magaidi ya Hezbollah yaliyojichimbia Kusini mwa Lebanon
Shambulizi hilo la hatari lilitumia takribani saa moja tu kabla ya ndege hizo kugeuza kurudi mapumzikoni
Idadi ya wahanga itajulikana huko mbeleni ila kwa leo toshe kusema IDF imeamua
Mungu wabariki watoto 12 wa Yakobo mwana wa Isaka mwana wa Ibrahimu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
October 7, 2024
IDF says 100 fighter jets attacked over 120 Hezbollah targets in south Lebanon today
By Emanuel Fabian Follow
Today, 6:38 pm
This picture taken from the southern city of Tyre shows smoke billowing from the site of an Israeli airstrike in a southern Lebanese village, on October 7, 2024 (KAWNAT HAJU / AFP)
Some 100 Israeli fighter jets carried out a large wave of airstrikes against more than 120 Hezbollah targets in southern Lebanon earlier today, the IDF says.
The strikes, which lasted an hour, hit Hezbollah sites belonging to the terror groupās Southern Front, elite Radwan Force, rocket and missile division, and intelligence division, according to the military.
Nina hakika Hilo ni zoezi la kuigeuza kifusi iran!Wadau hamjamboni nyote?

Unaifadhi adui wa mtu alafu anashambulia kutokea kwako kwanini usishambuliwe?Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.
Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Yeah. Hilo linaweza kuwa ni sahihi sana kwani IDF inachokifanya kwa sasa ni kama inaisaidia nchi ya Lebanon kumfurusha "Jambazi" aliyejikita na kutia mizizi ndani ya nchi ya Lebanon halafu "Jambazi" huyo amekomaa hadi amefikia hatua ya kiwango cha kuweza kuiingiza nchi ya Lebanon (Taifa huru la Lebanon) katika vita na Nchi Jirani yake ambayo ni nchi ya Israel. Hakika hiyo ni sadaka kubwa Myahudi anatoa kwa ndugu yake i.e. Israeli inaikomboa Lebanon kutoka makucha ya Hezbollah chini ya ufadhili wa Iran. Ikumbukwe kwamba Hezbollah (kama ilivyo kwa HAMAS )ni kikundi cha kisiasa chenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Group) lakini kuna kitengo cha Kijeshi ndani yake na kinafadhiliwa na Iran (mafunzo na silaha). Ndo mana Hezbollah na HAMAS vikiwemo vikundi vingine e.g. Houth(Yemen) nk. wanadiriki kumtunishia msuli Myahudi kwani wanamtegemea "Baba lao -Baunsa" Iran.Israel inaisaidia Serikali ya Lebanon sana, msije shangaa baada ya Vita wakaanzisha ushirikiano
Hakuna Yahudi ataishi kwa amani ndani ya Middle East. Hivi vita wanavyovichokoza ndio vitasababisha anguko lao. Soon mataifa yote ya kiarabu yataamka na kutengeneza pande mbili...either uwe na wayahudi au uwe na Waislam.Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.
Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Exactly Yes. Watu wanadhani HAMAS ndo Palestina na Hezbollah ndo Lebanon kitu ambacho sio sahihi hata kidogo. HAMAS na Hezbollah ni makundi ya kisiasa lakini yenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Groups)na yana kitengo cha kijeshi ndani yake. Palestina ni nchi huru na Lebanon pia ni nchi huru. Makundi hayo yameimarishwa na kufadhiliwa na nchi ya Iran (mafunzo na silaha za kivita) ndo mana yanathubutu kuanzisha vita na nchi ya Israeli. Anachokifanya Israel ni kuyasambaratisha na kuyatokomeza makundi hayo yakiwa mumo humo ndani ya nchi yalipo. Kwa mtazamaji au msomaji asiyejua undani wa kinachoendelea atadhani Israel inapigana vita na Palestina au na Lebanon kitu ambacho sio. Adui Mlengwa ni Hezbollah ndani ya nchi ya Lebanon na HAMAS ndani ya nchi ya Palestina. Palestina na Lebanon kama nchi huru hazina bifu na Israel ila sasa imeshakuwa kama ulivyosema "unamhifadhi adui halafu anashambulia akitokea kwako"Unaifadhi adui wa mtu alafu anashambulia kutokea kwako kwanini usishambuliwe?
Hivi nyie watu wa dini mbona mnafundishwa ugoro hivi halafu mnakubali?Hakuna Yahudi ataishi kwa amani ndani ya Middle East. Hivi vita wanavyovichokoza ndio vitasababisha anguko lao. Soon mataifa yote ya kiarabu yataamka na kutengeneza pande mbili...either uwe na wayahudi au uwe na Waislam.
Huu ni mwanzo wa vita vingi vidogo vidogo kabla ya kuja Malhama al kubra (Vita kubwa na ya mwisho ) hapa duniani.
Mtume Muhammad (s a.w) alishaeleza haya kwa undani kabisa na kukusanyika kwa mayahudi katika ardhi ya palestina hakujaja kwa bahati mbaya bali ni mpango wa Mungu katika kukifuta kizazi chote cha Mayahudi.
Ni suala la muda watu watakuja kuelewa hivi vita
Inaonekana huna uelewa juu ya ajenda kuu ya wayahudi.Exactly Yes. Watu wanadhani HAMAS ndo Palestina na Hezbollah ndo Lebanon kitu ambacho sio sahihi hata kidogo. HAMAS na Hezbollah ni makundi ya kisiasa lakini yenye mwelekeo wa kidini (Shia Islamic Groups)na yana kitengo cha kijeshi ndani yake. Palestina ni nchi huru na Lebanon pia ni nchi huru. Makundi hayo yameimarishwa na kufadhiliwa na nchi ya Iran (mafunzo na silaha za kivita) ndo mana yanathubutu kuanzisha vita na nchi ya Israeli. Anachokifanya Israel ni kuyasambaratisha na kuyatokomeza makundi hayo yakiwa mumo humo ndani ya nchi yalipo. Kwa mtazamaji au msomaji asiyejua undani wa kinachoendelea atadhani Israel inapigana vita na Palestina au na Lebanon kitu ambacho sio. Adui Mlengwa ni Hezbollah ndani ya nchi ya Lebanon na HAMAS ndani ya nchi ya Palestina. Palestina na Lebanon kama nchi huru hazina bifu na Israel ila sasa imeshakuwa kama ulivyosema "unamhifadhi adui halafu anashambulia akitokea kwako"
Wewe ni kondoo uliyeaminishwa kuwa mayahudi ni kizazi teule kwa Mungu ndio maana huwezi kuelewa ila cha kukusaidia tu unaweza kuiangalia hii documentary ujue kuwa mayahudi sio binadamu bali ni mashetaniHivi nyie watu wa dini mbona mnafundishwa ugoro hivi halafu mnakubali?
Halafu nyie waislamu, mbona mnaaminishwa kana kwamba ''Yahudi'' siyo binadamu?
Jinga sana nyinyi!
Ninachojua ni kuwa Walebanoni hawawataki Hizbollah kabisa kabisa.Israel inaisaidia Serikali ya Lebanon sana, msije shangaa baada ya Vita wakaanzisha ushirikiano
Acha hii ya juziHamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.
Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Shindwa ewe mchawiMtume Muhammad (s.a.w) alisema itafika kipindi myahudi atakimbia kujificha chini ya mti ila mti utasema kumwambia mwislam kuwa njoo hapa kuna myahudi kajificha umuue
Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (ļ·ŗ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."
(Sahih bukhar)